Mapenzi yamebeba vifo

Mapenzi yamebeba vifo

basi niafadhali nife niende mbinguni tu sasa
Usiseme hivi bana, kwanini umekata tamaa kiasi hiki, kwanza hapo ulipo hujaanza hata kuumwa ni kwamba umegundua tu una virusi, fuata ushauri wa watalaam na utaushi kwa amani wala usijali my dear, Mungu wetu ni mwaminifu sana hawezi kukuacha
 
Habari zenu wana JF

Mimi sio mwenyeji katika mtandao huu lakini imenibidi niwe na akaunti, pia si mwandishi mzuri lakini mtanielewa kwa hiki nitakacholeelezea.

Niliolewa miaka 6 iliyopita na tumebahatika kupata mtoto wa kiume ambaye kwakweli alileta furaha kwenye nyumba yetu.

Wakati wa uchumba mume wangu alikua hanikatazi kujipamba yaani kusuka na kuvaa mapambo ya wanawake kama tunavyojua wasichana tunapenda kujipamba, lakini baada ya kuolewa siku moja mume wangu aliniambia yeye anapenda mtu natural hapendi kuona nasuka nywele zenye rasta wala kushonea weaving.

Nilikubaliana naye lakini kwa shingo upande kiukweli nilikua napenda kupendeza sababu nafanya kazi so wapenzi nilikata nywele zangu, hereni, bangili sijui nii vyoote niligawa hata mafuta hakuna kupaka body cream napaka nilibadili hata mafuta nikawa napaka lotion za kawaida tu za sh 2500 au 3000 kwa ujumla kila kitu changu kilibadilika. Katika mavazi mume wangu alisema nisivae suruali sababu umbo langu linaonekana sana nikivaa hivyo hata suruali niligawa nikawa navaa magauni na sketi tena magauni mapana sio iliyonishika mwili kwa ujumla hayo ndio mabadiliko baada ya kuolewa

Miaka 2 ya ndoa ilipita mume wangu Mungu akambariki akapata kazi nzuri zaidi iliyompa mshahara mzuri nilimshukuru Mungu nikamwambia tutafute kiwanja tujenge nyumba yetu walau na jujenge nyumba ya kupangisha mume wangu hakuunga mkono sana swala la nyumba ya kupangisha yeye anapenda sana magari hata sasa anapenda magari mno lakini sio ya biashara ya kutembelea tu.

Basi tulianza tulijenga nyumba yetu kabla ya kumaliza kujenga mume wangu alinunua gari harrier mimi niliumia sana sababu nilitamani tumalize kujenga ndipo angenunua gari lakini namshukuru Mungu tulimalizia kujenga na hata sasa tunaishi kwenye nyumba yetu.

Baada ya mda ambao sikumbuki vizuri ni mda gani mume wangu alianza kubadilika akawa sio wakuwahi tena nyumbani nikimwuuliza anakua mkali nikawa naogopa kumwuuliza akawa anarudi mara saa 7 mara saa 9 lakini kuna kitu kilikuja kichwani kwanini ni mkali mbona hata sina kosa nilijishusha kuliko kawaida lakini bado hakupunguza ukali ilifika mahali tendo la ndoa inapita mwezi hatugusani mimi namwogopa hadi yeye aanze.

Mawazo yalinitesa mno mno nilipungua sana hata maziwa kifuani yakwa hayatoki niliamwua kumwachisha mtoto siku hiyo hakuchelewa kurudi kwenye saa 5 alisharudi baada ya kula nimwambia nimemwachisha mtoto, sitaa kaa niisahu hii siku nilipigwa mno aliniambia nimekua Malaya nimemwachisha mtoto ili niendeleze umalaya wangu na kwanini sikuomba ruhusa ya kumwachisha mtoto. Pamoja na kipondo nilichopata niliomba msamaha sana lakini hakutaka kunisamehe alitoka akawasha gari akaondoka nilimwona baada ya siku 2 tuliendelea kuishi kama mabubu rafiki yangu akawa dada wa nyumbani, na mtoto. Siku moja nilikutana na rafiki yake akashangaa kwa mwonekano nilionao sikuweza kumwambia lolote tofauti na kumwambia napitia changamoto ila zimeisha kumbe nasema uongo mambo ndio yananoga.

Siku moja kuna dada yangu wa hiari alinipigia simu akiwa kama anahuzuni hivi akaniambia njoo sehemu fulani nilienda sababu dada yangu hakuwahi kuwa na huzuni ile nilipofika maeno yale niliona gari ya mume wangu imepaki nje ya hiyo hotel dada yangu aliniambia nikae kwenye gari siti ya nyuma na nitulie nilikaa pale kama masaa 2 hivi ndipo nikamwona mwanadada anatoka na mume wangu kamshika mkono yaani ni mrembo hasa kajitengeneza anang'aa kama mkristmas tree, dada yangu akaniambia usishuke acha waondoke then nitakurudisha nyumbani kweli waliondoka na sisi tuliondoka nililia mno dada akaniambia anajua tabia za mume wangu lakini alikua anaogopa kuniambia.

Hayo maombi ambayo niliomba siku hiyo sijui kama yatakuja kutokea baada ya muda mume wangu aliniambia ameoa mke wa pili hivyo hawezi kuendelea kuishi na mimi atakua anakuja kumwona mtoto niliwaeleza wazazi wangu mama yangu aliumia sana lakini ndugu zake wote walifurahi hasa mawifi zangu. nikaanza kukaa maisha ya kutokua na mume wangu nyumbani.

Baadae maumivu yakaanza kupungua ndipo tatizo jipya likazuka. Siku moja walipita watu ofisini wakiwa wanahamasisha tupime afya zetu mimi nilikua mmojawapo nilipima na ndipo majibu yangu yakaja am HIV POSITIVE ndugu zangu sina cha kuwaambia maana usiombe uambiwe una virusi vya UKIMWI nililia kwa mda wa wiki nzima sikuweza kwenda kazini dada wa kazi alikua ananipenda akawa ananshindwa ninamatatizo gani. Nilimwita mama nikaja kumweleza ukweli mama yangu alilia sana na sisi kwetu tumezaliwa wawili tu mimi ndio mkubwa. Wapendwa natamani kupona huu ugonjwa Mungu wangu anajua ukweli wangu. Bado nafanya kazi naweza kujihudumia na mtoto pia naweza kumlea.

Natamani kupona huu ugonjwa wapo wanao nipenda lakini siwezi kuwa na mahusiano. Natamani kupona sijui kwa njia gani lakini natamani hivi virusi visiwepo kwenye mwili wangu ili niweze kuwa na mtu mwingine niwe na mimi nafuraha nisaidieni wapi wanatoa huduma ya maombi mwenye matatizo kama yangu? Hakuna mwanaume atakae nipenda nikimwambia ninavirusi najua mtaona nimechanganyikwa ila natamani kupona.

Nisameheni hilo ndio linaniumiza
pole kwa yaliyokukuta tena pole sana,

ingawa ktk maelezo yako umeshindwa kutuambia kama mlienda kupima wote na mmeo au ulienda peke yako, na je mmeo naye ni mwathilika?

lakini imeonekana mmeo alianza kuwa na tabia zisizofaa kwa mme bora hayamkini ndiye aliyekuletea tatizo hilo.

kwa ninavyofahamu mimi umefanya kosa kubwa moja baada ya mmeo kubadili tabia na kuanza kurudi usiku ulitakiwa kuanza kuchukua tahadhari ya hali ya juu, ikiwemo vikao visivyoisha na ndugu zake kumrekebisha ili
kuepuka madhara makubwa yaliyokuwa yanakunyemelea wewe na familia yako.

Funzo kwa wanawake wote unapoona unamhoji mmeo maswali ya msingi anakuwa mkali ujue ana tatizo ambalo hataki lijulikane, hivyo anajificha kwenye kivuli cha ukali ili umwogope apate fursa ya kuendelwa na upumbavu wake.

ushauri: hii imeshatokea na unahitaji uponyaji. nasema inawezekana kupona wala usiwe na shaka hata kidogo.
kwa maombi kupitia jina la Yesu tu, tena unapata uponyaji mara mbili, kwanza unapona roho yako na jehanum ya moto pili unapona mwili wako na magonjwa yote. hatua za kuchukua.

(1)tafuta kanisa la kiroho au kwa warokole kama wanavyopenda kuwaita uende kuungama au kutubu dhambi zako zote,na kuziacha kabisa siku hiyo utakuwa umeokoka

(2)endelea kuhudhuria vipindi vya mafundisho na maombi vya kila wiki utaendelea kuombewa baada ya maombi nenda kapime utajikuta mzima bila ugonjwa wowote.
utakuwa umepona ugonjwa na kupata uzima wa milele.

amini haya niliyokuambia yafanyie kazi, wako wengi waliokuja wakilia machozi ya huzuni lakini sasa wanalia machozi ya furaha.
 
Mimi nakushauri dada yangu fata ushauri wa madactari ili uishi miaka mingi na kumtunza mwanao.
 
Ukiona mwanaume anatulia na mwanamke mmoja, ujue uchumi wake umeyumba.

Pole.
Inaweza kuwa kweli!
Hofu ya Mwenyezi MUNGU, maradhi na uwezo wa ku'perform' zina uzito wake.
 
pole kwa yaliyokukuta tena pole sana,

ingawa ktk maelezo yako umeshindwa kutuambia kama mlienda kupima wote na mmeo au ulienda peke yako, na je mmeo naye ni mwathilika?

lakini imeonekana mmeo alianza kuwa na tabia zisizofaa kwa mme bora hayamkini ndiye aliyekuletea tatizo hilo.

kwa ninavyofahamu mimi umefanya kosa kubwa moja baada ya mmeo kubadili tabia na kuanza kurudi usiku ulitakiwa kuanza kuchukua tahadhari ya hali ya juu, ikiwemo vikao visivyoisha na ndugu zake kumrekebisha ili
kuepuka madhara makubwa yaliyokuwa yanakunyemelea wewe na familia yako.

Funzo kwa wanawake wote unapoona unamhoji mmeo maswali ya msingi anakuwa mkali ujue ana tatizo ambalo hataki lijulikane, hivyo anajificha kwenye kivuli cha ukali ili umwogope apate fursa ya kuendelwa na upumbavu wake.

ushauri: hii imeshatokea na unahitaji uponyaji. nasema inawezekana kupona wala usiwe na shaka hata kidogo.
kwa maombi kupitia jina la Yesu tu, tena unapata uponyaji mara mbili, kwanza unapona roho yako na jehanum ya moto pili unapona mwili wako na magonjwa yote. hatua za kuchukua.

(1)tafuta kanisa la kiroho au kwa warokole kama wanavyopenda kuwaita uende kuungama au kutubu dhambi zako zote,na kuziacha kabisa siku hiyo utakuwa umeokoka

(2)endelea kuhudhuria vipindi vya mafundisho na maombi vya kila wiki utaendelea kuombewa baada ya maombi nenda kapime utajikuta mzima bila ugonjwa wowote.
utakuwa umepona ugonjwa na kupata uzima wa milele.

amini haya niliyokuambia yafanyie kazi, wako wengi waliokuja wakilia machozi ya huzuni lakini sasa wanalia machozi ya furaha.

Asante sana kwa ushauri wengi wamekuja inbox na wengi wamenishauri njia moja ya kupona ni kuamwua kuwa na yesu kama ni hilo tu mimi sioni kama nitashindwa ingawa najua kila jambo linachangamoto zake. nimekubali kuokoka uzuri mimi ni mkristo tangu tangu udogo wangu lakini sikuwa mwokovu ninachohitaji mimi ni kupona kama yesu mnae niambia ndio dawa basi mimi nitaitafuta hiyo dawa
 
Machozi ya menitoka pole sana unaweza kupona ila dawa yenyewe ni imani uishi kama hauna Ukimwi amini hivyo
 
Aisee pole sana dada..

Ila usifanye kosa la kukata tamaa maana utasababisha ufe kabla ya muda wako umuache mwanao ahangaike. Ukifuata maelekezo ya daktari naamini utaendelea kudunda ukiwa poa tu. Na kuhusu kupata mwenza wapo wenye hali kama yako so usiumie sana.

Endelea na sala zako na Mungu atakutendea makuu hutoamini!
 
Kama utamwamini Yesu kama Bwana na Mwokozi wako utapona hakika kuna mtumishi anaMungu sana aliwaombea watatu virusi vikakauka mwilini nitafute 0686399397
Mimi sio mwenyeji katika mtandao huu lakini imenibidi niwe na akaunti, pia si mwandishi mzuri lakini mtanielewa kwa hiki nitakacholeelezea.

Niliolewa miaka 6 iliyopita na tumebahatika kupata mtoto wa kiume ambaye kwakweli alileta furaha kwenye nyumba yetu.

Wakati wa uchumba mume wangu alikua hanikatazi kujipamba yaani kusuka na kuvaa mapambo ya wanawake kama tunavyojua wasichana tunapenda kujipamba, lakini baada ya kuolewa siku moja mume wangu aliniambia yeye anapenda mtu natural hapendi kuona nasuka nywele zenye rasta wala kushonea weaving.

Nilikubaliana naye lakini kwa shingo upande kiukweli nilikua napenda kupendeza sababu nafanya kazi so wapenzi nilikata nywele zangu, hereni, bangili sijui nii vyoote niligawa hata mafuta hakuna kupaka body cream napaka nilibadili hata mafuta nikawa napaka lotion za kawaida tu za sh 2500 au 3000 kwa ujumla kila kitu changu kilibadilika. Katika mavazi mume wangu alisema nisivae suruali sababu umbo langu linaonekana sana nikivaa hivyo hata suruali niligawa nikawa navaa magauni na sketi tena magauni mapana sio iliyonishika mwili kwa ujumla hayo ndio mabadiliko baada ya kuolewa

Miaka 2 ya ndoa ilipita mume wangu Mungu akambariki akapata kazi nzuri zaidi iliyompa mshahara mzuri nilimshukuru Mungu nikamwambia tutafute kiwanja tujenge nyumba yetu walau na jujenge nyumba ya kupangisha mume wangu hakuunga mkono sana swala la nyumba ya kupangisha yeye anapenda sana magari hata sasa anapenda magari mno lakini sio ya biashara ya kutembelea tu.

Basi tulianza tulijenga nyumba yetu kabla ya kumaliza kujenga mume wangu alinunua gari harrier mimi niliumia sana sababu nilitamani tumalize kujenga ndipo angenunua gari lakini namshukuru Mungu tulimalizia kujenga na hata sasa tunaishi kwenye nyumba yetu.

Baada ya mda ambao sikumbuki vizuri ni mda gani mume wangu alianza kubadilika akawa sio wakuwahi tena nyumbani nikimwuuliza anakua mkali nikawa naogopa kumwuuliza akawa anarudi mara saa 7 mara saa 9 lakini kuna kitu kilikuja kichwani kwanini ni mkali mbona hata sina kosa nilijishusha kuliko kawaida lakini bado hakupunguza ukali ilifika mahali tendo la ndoa inapita mwezi hatugusani mimi namwogopa hadi yeye aanze.

Mawazo yalinitesa mno mno nilipungua sana hata maziwa kifuani yakwa hayatoki niliamwua kumwachisha mtoto siku hiyo hakuchelewa kurudi kwenye saa 5 alisharudi baada ya kula nimwambia nimemwachisha mtoto, sitaa kaa niisahu hii siku nilipigwa mno aliniambia nimekua Malaya nimemwachisha mtoto ili niendeleze umalaya wangu na kwanini sikuomba ruhusa ya kumwachisha mtoto. Pamoja na kipondo nilichopata niliomba msamaha sana lakini hakutaka kunisamehe alitoka akawasha gari akaondoka nilimwona baada ya siku 2 tuliendelea kuishi kama mabubu rafiki yangu akawa dada wa nyumbani, na mtoto. Siku moja nilikutana na rafiki yake akashangaa kwa mwonekano nilionao sikuweza kumwambia lolote tofauti na kumwambia napitia changamoto ila zimeisha kumbe nasema uongo mambo ndio yananoga.

Siku moja kuna dada yangu wa hiari alinipigia simu akiwa kama anahuzuni hivi akaniambia njoo sehemu fulani nilienda sababu dada yangu hakuwahi kuwa na huzuni ile nilipofika maeno yale niliona gari ya mume wangu imepaki nje ya hiyo hotel dada yangu aliniambia nikae kwenye gari siti ya nyuma na nitulie nilikaa pale kama masaa 2 hivi ndipo nikamwona mwanadada anatoka na mume wangu kamshika mkono yaani ni mrembo hasa kajitengeneza anang'aa kama mkristmas tree, dada yangu akaniambia usishuke acha waondoke then nitakurudisha nyumbani kweli waliondoka na sisi tuliondoka nililia mno dada akaniambia anajua tabia za mume wangu lakini alikua anaogopa kuniambia.

Hayo maombi ambayo niliomba siku hiyo sijui kama yatakuja kutokea baada ya muda mume wangu aliniambia ameoa mke wa pili hivyo hawezi kuendelea kuishi na mimi atakua anakuja kumwona mtoto niliwaeleza wazazi wangu mama yangu aliumia sana lakini ndugu zake wote walifurahi hasa mawifi zangu. nikaanza kukaa maisha ya kutokua na mume wangu nyumbani.

Baadae maumivu yakaanza kupungua ndipo tatizo jipya likazuka. Siku moja walipita watu ofisini wakiwa wanahamasisha tupime afya zetu mimi nilikua mmojawapo nilipima na ndipo majibu yangu yakaja am HIV POSITIVE ndugu zangu sina cha kuwaambia maana usiombe uambiwe una virusi vya UKIMWI nililia kwa mda wa wiki nzima sikuweza kwenda kazini dada wa kazi alikua ananipenda akawa ananshindwa ninamatatizo gani. Nilimwita mama nikaja kumweleza ukweli mama yangu alilia sana na sisi kwetu tumezaliwa wawili tu mimi ndio mkubwa. Wapendwa natamani kupona huu ugonjwa Mungu wangu anajua ukweli wangu. Bado nafanya kazi naweza kujihudumia na mtoto pia naweza kumlea.

Natamani kupona huu ugonjwa wapo wanao nipenda lakini siwezi kuwa na mahusiano. Natamani kupona sijui kwa njia gani lakini natamani hivi virusi visiwepo kwenye mwili wangu ili niweze kuwa na mtu mwingine niwe na mimi nafuraha nisaidieni wapi wanatoa huduma ya maombi mwenye matatizo kama yangu? Hakuna mwanaume atakae nipenda nikimwambia ninavirusi najua mtaona nimechanganyikwa ila natamani kupona.

Nisameheni hilo ndio linaniumiza[/QUOTE]

eeeeee Mungu nyoosha mkono wako tuokoe wanawake wengi tunalia
 
Duh!
Umekuja na kupata reply zote namuna hii?
Walah umejipanga vyema.
 
Asante sana kwa ushauri wengi wamekuja inbox na wengi wamenishauri njia moja ya kupona ni kuamwua kuwa na yesu kama ni hilo tu mimi sioni kama nitashindwa ingawa najua kila jambo linachangamoto zake. nimekubali kuokoka uzuri mimi ni mkristo tangu tangu udogo wangu lakini sikuwa mwokovu ninachohitaji mimi ni kupona kama yesu mnae niambia ndio dawa basi mimi nitaitafuta hiyo dawa
Pole sana ila wanaokuambia kuwa na yesu ndio dawa ya ukimwi wanakupotosha....usije kuacha kutumia ARVs ukitegemea yesu atakuponya hamna ushahidi hata mmoja kwamba mtu alipona ukimwi baada ya kuokoka cha msingi zingatia masharti ya dawa kula vizuri....science na technology inakuwa sana unaweza shangaa soon dawa ya ukimwi umepatikana ukapata tiba
 
Vipigo, kufumania na majanga kibao ila bado tu umeng'ang'ania kwa mume, kwenu ulifukuzwa au? Pole sana ingawa huo ukimwi ni kutokana na matatizo yaliyokukumba na stress nyingi. Nina uhakika ukutulia, ukapata lishe bora upungufu wa kinga utatoweka.
 
Kama mkuu deception angebahatika kupitia huu uzi hakika dada yetu, asingekua na hali aliyonayo
 
Daaahh pole sana Dada angu, mungu akupe nguvu zaidi. Pia nikupongeza kutotaka kuambukiza watu wengine.
Nimehuzunika sana ndugu yangu.
 
Zaburi 103:1-6
[1]Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA.
Naam, vyote vilivyo ndani yangu
Vilihimidi jina lake takatifu.
[2]Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA,
Wala usizisahau fadhili zake zote.
[3]Akusamehe maovu yako yote,
Akuponya magonjwa yako yote,
[4]Aukomboa uhai wako na kaburi,
Akutia taji ya fadhili na rehema,
[5]Aushibisha mema uzee wako,
Ujana wako ukarejezwa kama tai;
[6]BWANA ndiye afanyaye mambo ya haki,
Na hukumu kwa wote wanaoonewa.
 
Back
Top Bottom