Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
pole sana mwanmke mwenzangu !mie nakuomBa ona ukimwi ni km magonjwa mengine tu ni kama pumu tu ambayo utaishi nayo milele! nimeishi na ndugu yangu hiv positive alijikubali kwanza mwenyewe !then akafuata mashart ya Dk sasa hv ukiambia anaumwa hutaamini amekuwa na afya nzuri sana sna ! na ww jikubali kwanza mamy !mkabidhi Mungu janga lako !
napia usijione huna thaman tena ya kupenda hapana wapo weeeeeeeeengi mno wenye status kama yako na wanaishi na wenza wenye status moja !naamini ww utapata mwenza atakutoa upweke ulonao ! nakuomba jitahd kutoka out na mwanao nenda beach nenda kanisani imba kwaya nk nk utaona Mungu atakavyokuondolea hizo stress !
wewe ni.................... MZURI NA WATAHAMANI SANA SANA.............
AMINAAAA!!!
