Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,821
Pole sana dada 
Mungu ni mwema amesikia kilio chako....jipe moyo kazana kumuomba Mungu na usiache kujipenda, jitahidi kuondoa hayo mawazo ya kwamba hakuna atakae kupenda ukiwa positive.
Mungu anafanya njia pasipo na njia na njia zake si kama zetu, utashinda.