Mapenzi yamebeba vifo

NGWECHE

Member
Oct 5, 2017
5
45
Habari zenu wana JF

Mimi sio mwenyeji katika mtandao huu lakini imenibidi niwe na akaunti, pia si mwandishi mzuri lakini mtanielewa kwa hiki nitakacholeelezea.

Niliolewa miaka 6 iliyopita na tumebahatika kupata mtoto wa kiume ambaye kwakweli alileta furaha kwenye nyumba yetu.

Wakati wa uchumba mume wangu alikua hanikatazi kujipamba yaani kusuka na kuvaa mapambo ya wanawake kama tunavyojua wasichana tunapenda kujipamba, lakini baada ya kuolewa siku moja mume wangu aliniambia yeye anapenda mtu natural hapendi kuona nasuka nywele zenye rasta wala kushonea weaving.

Nilikubaliana naye lakini kwa shingo upande kiukweli nilikua napenda kupendeza sababu nafanya kazi so wapenzi nilikata nywele zangu, hereni, bangili sijui nii vyoote niligawa hata mafuta hakuna kupaka body cream napaka nilibadili hata mafuta nikawa napaka lotion za kawaida tu za sh 2500 au 3000 kwa ujumla kila kitu changu kilibadilika. Katika mavazi mume wangu alisema nisivae suruali sababu umbo langu linaonekana sana nikivaa hivyo hata suruali niligawa nikawa navaa magauni na sketi tena magauni mapana sio iliyonishika mwili kwa ujumla hayo ndio mabadiliko baada ya kuolewa

Miaka 2 ya ndoa ilipita mume wangu Mungu akambariki akapata kazi nzuri zaidi iliyompa mshahara mzuri nilimshukuru Mungu nikamwambia tutafute kiwanja tujenge nyumba yetu walau na jujenge nyumba ya kupangisha mume wangu hakuunga mkono sana swala la nyumba ya kupangisha yeye anapenda sana magari hata sasa anapenda magari mno lakini sio ya biashara ya kutembelea tu.

Basi tulianza tulijenga nyumba yetu kabla ya kumaliza kujenga mume wangu alinunua gari harrier mimi niliumia sana sababu nilitamani tumalize kujenga ndipo angenunua gari lakini namshukuru Mungu tulimalizia kujenga na hata sasa tunaishi kwenye nyumba yetu.

Baada ya mda ambao sikumbuki vizuri ni mda gani mume wangu alianza kubadilika akawa sio wakuwahi tena nyumbani nikimwuuliza anakua mkali nikawa naogopa kumwuuliza akawa anarudi mara saa 7 mara saa 9 lakini kuna kitu kilikuja kichwani kwanini ni mkali mbona hata sina kosa nilijishusha kuliko kawaida lakini bado hakupunguza ukali ilifika mahali tendo la ndoa inapita mwezi hatugusani mimi namwogopa hadi yeye aanze.

Mawazo yalinitesa mno mno nilipungua sana hata maziwa kifuani yakwa hayatoki niliamwua kumwachisha mtoto siku hiyo hakuchelewa kurudi kwenye saa 5 alisharudi baada ya kula nimwambia nimemwachisha mtoto, sitaa kaa niisahu hii siku nilipigwa mno aliniambia nimekua Malaya nimemwachisha mtoto ili niendeleze umalaya wangu na kwanini sikuomba ruhusa ya kumwachisha mtoto. Pamoja na kipondo nilichopata niliomba msamaha sana lakini hakutaka kunisamehe alitoka akawasha gari akaondoka nilimwona baada ya siku 2 tuliendelea kuishi kama mabubu rafiki yangu akawa dada wa nyumbani, na mtoto. Siku moja nilikutana na rafiki yake akashangaa kwa mwonekano nilionao sikuweza kumwambia lolote tofauti na kumwambia napitia changamoto ila zimeisha kumbe nasema uongo mambo ndio yananoga.

Siku moja kuna dada yangu wa hiari alinipigia simu akiwa kama anahuzuni hivi akaniambia njoo sehemu fulani nilienda sababu dada yangu hakuwahi kuwa na huzuni ile nilipofika maeno yale niliona gari ya mume wangu imepaki nje ya hiyo hotel dada yangu aliniambia nikae kwenye gari siti ya nyuma na nitulie nilikaa pale kama masaa 2 hivi ndipo nikamwona mwanadada anatoka na mume wangu kamshika mkono yaani ni mrembo hasa kajitengeneza anang'aa kama mkristmas tree, dada yangu akaniambia usishuke acha waondoke then nitakurudisha nyumbani kweli waliondoka na sisi tuliondoka nililia mno dada akaniambia anajua tabia za mume wangu lakini alikua anaogopa kuniambia.

Hayo maombi ambayo niliomba siku hiyo sijui kama yatakuja kutokea baada ya muda mume wangu aliniambia ameoa mke wa pili hivyo hawezi kuendelea kuishi na mimi atakua anakuja kumwona mtoto niliwaeleza wazazi wangu mama yangu aliumia sana lakini ndugu zake wote walifurahi hasa mawifi zangu. nikaanza kukaa maisha ya kutokua na mume wangu nyumbani.

Baadae maumivu yakaanza kupungua ndipo tatizo jipya likazuka. Siku moja walipita watu ofisini wakiwa wanahamasisha tupime afya zetu mimi nilikua mmojawapo nilipima na ndipo majibu yangu yakaja am HIV POSITIVE ndugu zangu sina cha kuwaambia maana usiombe uambiwe una virusi vya UKIMWI nililia kwa mda wa wiki nzima sikuweza kwenda kazini dada wa kazi alikua ananipenda akawa ananshindwa ninamatatizo gani. Nilimwita mama nikaja kumweleza ukweli mama yangu alilia sana na sisi kwetu tumezaliwa wawili tu mimi ndio mkubwa. Wapendwa natamani kupona huu ugonjwa Mungu wangu anajua ukweli wangu. Bado nafanya kazi naweza kujihudumia na mtoto pia naweza kumlea.

Natamani kupona huu ugonjwa wapo wanao nipenda lakini siwezi kuwa na mahusiano. Natamani kupona sijui kwa njia gani lakini natamani hivi virusi visiwepo kwenye mwili wangu ili niweze kuwa na mtu mwingine niwe na mimi nafuraha nisaidieni wapi wanatoa huduma ya maombi mwenye matatizo kama yangu? Hakuna mwanaume atakae nipenda nikimwambia ninavirusi najua mtaona nimechanganyikwa ila natamani kupona.

Nisameheni hilo ndio linaniumiza
 
uwiiiii, nimelia kwa kweli
Ila ninachojua Ukimwi hauna dawa ila ukiomba Mungu aweza kutenda miujiza na ukapona.
Lingine ni kuwa Ukimwi sio kifo, jaribu kujikubali na Mungu akupe zaidi miaka mingi ya kuishi. ukitumia dawa utakuwa sawa tu my dear.
naungana na wewe maumivu ulio nayo ni makubwa ila pls hebu tulia na tafakari, pia kumbuka unae mtoto ambaye anakuhitaji so ukiruhusu mawazo mengi utapoteza nguvu nyingi
Ninachoweza kusema ni kuwa wewe mwenyewe hutoweza ila ukimshirikisha Mungu atakutia nguvu dear
Pole sana jamani loooh, imeniuma sana
Mungu akutie nguvu
 
Aisee. Pole sana mwaya.

Kiukweli na ndivyo ilivyo Ukimwi hauna dawa na haujawahi kuwa na dawa hivyo cha kufanya ni kuendelea kufuata masharti ya huo ugonjwa na pia ukizidi kuchakarika katika kumtengenezea maisha ya baadae mwanao na hicho ndicho kilichobaki. Usisononeke mwaya kinachotakiwa upambane na kukubaliana na hali yako my dear.

Ila baadhi ya wanaume Mungu anawaona.
 
Wapo wanaotafta watu wenye hali kama yako nadhani ingekuwa heri ukampata mwenye hali kama yako kisha mfurahie maisha kama wengine tu. Mungu akutangulie dada angu pole sana imenigusa sana hii. Dah
 
uwiiiii, nimelia kwa kweli
Ila ninachojua Ukimwi hauna dawa ila ukiomba Mungu aweza kutenda miujiza na ukapona.
Lingine ni kuwa Ukimwi sio kifo, jaribu kujikubali na Mungu akupe zaidi miaka mingi ya kuishi. ukitumia dawa utakuwa sawa tu my dear.
naungana na wewe maumivu ulio nayo ni makubwa ila pls hebu tulia na tafakari, pia kumbuka unae mtoto ambaye anakuhitaji so ukiruhusu mawazo mengi utapoteza nguvu nyingi
Ninachoweza kusema ni kuwa wewe mwenyewe hutoweza ila ukimshirikisha Mungu atakutia nguvu dear
Pole sana jamani loooh, imeniuma sana
Mungu akutie nguvu
Kidogo nizimie mdada stress zinamchanganya oooh lord where are you, Sina hata cha kuandika mimi niandike nini sasa, jamani wanajf msaidieni huyu mtu kwanza kisaikolojia ili aipokee hiyo hali jamani jamani jamani, Mungu amsaidie
 
hakika umenena vyema na Mungu amsaidie
 
Habari zenu wana JF

Mimi sio mwenyeji katika mtandao huu lakini imenibidi niwe na akaunti, pia si mwandishi mzuri lakini mtanielewa kwa hiki nitakacholeelezea.

Niliolewa miaka 6 iliyopita na tumebahatika kupata mtoto wa kiume ambaye kwakweli alileta furaha kwenye nyumba yetu.

Wakati wa uchumba mume wangu alikua hanikatazi kujipamba yaani kusuka na kuvaa mapambo ya wanawake kama tunavyojua wasichana tunapenda kujipamba, lakini baada ya kuolewa siku moja mume wangu aliniambia yeye anapenda mtu natural hapendi kuona nasuka nywele zenye rasta wala kushonea weaving.

Nilikubaliana naye lakini kwa shingo upande kiukweli nilikua napenda kupendeza sababu nafanya kazi so wapenzi nilikata nywele zangu, hereni, bangili sijui nii vyoote niligawa hata mafuta hakuna kupaka body cream napaka nilibadili hata mafuta nikawa napaka lotion za kawaida tu za sh 2500 au 3000 kwa ujumla kila kitu changu kilibadilika. Katika mavazi mume wangu alisema nisivae suruali sababu umbo langu linaonekana sana nikivaa hivyo hata suruali niligawa nikawa navaa magauni na sketi tena magauni mapana sio iliyonishika mwili kwa ujumla hayo ndio mabadiliko baada ya kuolewa

Miaka 2 ya ndoa ilipita mume wangu Mungu akambariki akapata kazi nzuri zaidi iliyompa mshahara mzuri nilimshukuru Mungu nikamwambia tutafute kiwanja tujenge nyumba yetu walau na jujenge nyumba ya kupangisha mume wangu hakuunga mkono sana swala la nyumba ya kupangisha yeye anapenda sana magari hata sasa anapenda magari mno lakini sio ya biashara ya kutembelea tu.

Basi tulianza tulijenga nyumba yetu kabla ya kumaliza kujenga mume wangu alinunua gari harrier mimi niliumia sana sababu nilitamani tumalize kujenga ndipo angenunua gari lakini namshukuru Mungu tulimalizia kujenga na hata sasa tunaishi kwenye nyumba yetu.

Baada ya mda ambao sikumbuki vizuri ni mda gani mume wangu alianza kubadilika akawa sio wakuwahi tena nyumbani nikimwuuliza anakua mkali nikawa naogopa kumwuuliza akawa anarudi mara saa 7 mara saa 9 lakini kuna kitu kilikuja kichwani kwanini ni mkali mbona hata sina kosa nilijishusha kuliko kawaida lakini bado hakupunguza ukali ilifika mahali tendo la ndoa inapita mwezi hatugusani mimi namwogopa hadi yeye aanze.

Mawazo yalinitesa mno mno nilipungua sana hata maziwa kifuani yakwa hayatoki niliamwua kumwachisha mtoto siku hiyo hakuchelewa kurudi kwenye saa 5 alisharudi baada ya kula nimwambia nimemwachisha mtoto, sitaa kaa niisahu hii siku nilipigwa mno aliniambia nimekua Malaya nimemwachisha mtoto ili niendeleze umalaya wangu na kwanini sikuomba ruhusa ya kumwachisha mtoto. Pamoja na kipondo nilichopata niliomba msamaha sana lakini hakutaka kunisamehe alitoka akawasha gari akaondoka nilimwona baada ya siku 2 tuliendelea kuishi kama mabubu rafiki yangu akawa dada wa nyumbani, na mtoto. Siku moja nilikutana na rafiki yake akashangaa kwa mwonekano nilionao sikuweza kumwambia lolote tofauti na kumwambia napitia changamoto ila zimeisha kumbe nasema uongo mambo ndio yananoga.

Siku moja kuna dada yangu wa hiari alinipigia simu akiwa kama anahuzuni hivi akaniambia njoo sehemu fulani nilienda sababu dada yangu hakuwahi kuwa na huzuni ile nilipofika maeno yale niliona gari ya mume wangu imepaki nje ya hiyo hotel dada yangu aliniambia nikae kwenye gari siti ya nyuma na nitulie nilikaa pale kama masaa 2 hivi ndipo nikamwona mwanadada anatoka na mume wangu kamshika mkono yaani ni mrembo hasa kajitengeneza anang'aa kama mkristmas tree, dada yangu akaniambia usishuke acha waondoke then nitakurudisha nyumbani kweli waliondoka na sisi tuliondoka nililia mno dada akaniambia anajua tabia za mume wangu lakini alikua anaogopa kuniambia.

Hayo maombi ambayo niliomba siku hiyo sijui kama yatakuja kutokea baada ya muda mume wangu aliniambia ameoa mke wa pili hivyo hawezi kuendelea kuishi na mimi atakua anakuja kumwona mtoto niliwaeleza wazazi wangu mama yangu aliumia sana lakini ndugu zake wote walifurahi hasa mawifi zangu. nikaanza kukaa maisha ya kutokua na mume wangu nyumbani.

Baadae maumivu yakaanza kupungua ndipo tatizo jipya likazuka. Siku moja walipita watu ofisini wakiwa wanahamasisha tupime afya zetu mimi nilikua mmojawapo nilipima na ndipo majibu yangu yakaja am HIV POSITIVE ndugu zangu sina cha kuwaambia maana usiombe uambiwe una virusi vya UKIMWI nililia kwa mda wa wiki nzima sikuweza kwenda kazini dada wa kazi alikua ananipenda akawa ananshindwa ninamatatizo gani. Nilimwita mama nikaja kumweleza ukweli mama yangu alilia sana na sisi kwetu tumezaliwa wawili tu mimi ndio mkubwa. Wapendwa natamani kupona huu ugonjwa Mungu wangu anajua ukweli wangu. Bado nafanya kazi naweza kujihudumia na mtoto pia naweza kumlea.

Natamani kupona huu ugonjwa wapo wanao nipenda lakini siwezi kuwa na mahusiano. Natamani kupona sijui kwa njia gani lakini natamani hivi virusi visiwepo kwenye mwili wangu ili niweze kuwa na mtu mwingine niwe na mimi nafuraha nisaidieni wapi wanatoa huduma ya maombi mwenye matatizo kama yangu? Hakuna mwanaume atakae nipenda nikimwambia ninavirusi najua mtaona nimechanganyikwa ila natamani kupona.

Nisameheni hilo ndio linaniumiza

Pole sana sana Dada. Pole sana. Naomba uje inbox tunaweza kuongea mambo mawili matatu.

Pole sana dear.... Pole sana Mwanamke mwenzangu. Pole Pole dear... Hakika inaumiza sana.
 
Chozi limenitoka haki....Dada pole alafu amini kuwa kuwa HIV positive sio kwamba ndo unakufa kesho,sio kwamba utashindwa kufanya shughuli zako,sio kwamba utashindwa kupata mume mwingine kikubwa in kuikubali hiyo hali na kumtanguliza mungu mbele pamoja na mazingatio ya ushauri wa daktari....amini wapo watu wazima na afya zao watakutangulia wewe kufa kwa hiyo usikate tamaa ya Maisha my dada ,,(ila ingekua Mimi ningewachomea nyumba hakyamungu hao mambwa)
 
Back
Top Bottom