Mapenzi ya vichochoroni

Jaribu siku moja.... yana raha yake...... na watu wanaenjoy:rolleyes: Mapenzi sio lazima Gest kitandani. Hata mchangani yananogaga cha maana uchague sehemu safi, nzuri, yenye utulivuuuuuu Ushawahi kugegedwa huku unaangalia nyota na mwezi weyeeeee!
watu na ubunifu!
 
15 ni ela ya msosi wa siku 3.
Mchana 1500 na usiku hivyo hivyo. Jumla 3000, ukiweka na maji ya buku inakuwa 4000.
Hiyo 4000 mara 3 inakuwa 16000, hiuo buku iliyopelea Kuna siku unapiga ukoko.

Usawa huu wa Magu kuna matumizi ambayo si ya lazima unapiga chini, Yan kama alivyo amua kuacha kutoa ela za semina kufanyika mahotelini na sisi tunao muunga mkono hatuendi Guest house
 
waende guest house kwani wao wageni? hao watakuwa wenyeji so ya nini kupoteza pesa wakati ni wenyeji ? waache waenjoy ....
Hi guys,

Inashangaza mno, wakina kaka na wakina dada wenzangu bado mnafanya mapenzi ya vichochoroni. Juzi hapa narejea zangu kwa nyumba, usiku mitaa ya jirani nasikia zile kelele za watu wakifanya mapenzi pembeni kwa njia, vile nazidi sogea nikaona kaka kakamatia, eeish

Mnashindwa hata 15 ya guest house? So sad! Tubadilike jamani tunatiana aibu na wewe dada kama huyo anakufanya hivyo jua anakudhalilisha sana.
 
Asilimia kubwa hao ni wachepukaji, sasa mtu akipata showtime kama hiyo hawezi kwenda guest akionwa na watu anaweza kuachika bora ajipigie gizani usiku mwingi kila mtu asepe
 
Jaribu siku moja.... yana raha yake...... na watu wanaenjoy:rolleyes: Mapenzi sio lazima Gest kitandani. Hata mchangani yananogaga cha maana uchague sehemu safi, nzuri, yenye utulivuuuuuu Ushawahi kugegedwa huku unaangalia nyota na mwezi weyeeeee!
Hahahaaaas
 
Kiukweli ni juzi tu kwenye uchochoro mmoja maarufu hapa Mafinga gegedo lilipata msuuzo wa kufungia mwaka nashuhudia kua uchochoroni kutamu wakuu
 
Back
Top Bottom