Mapenzi ya vichochoroni

Mapenzi ya vichochoroni

duh unankumbusha mbaaali sana. kiufupi asikwambie mtu ngono inayofanywa mahali pasipo rasmi ni tam kuliko maelezo. take it from me.
 
We unapita vichochoroni kufanya nini mkuu?
 
Mmh. Hapana aiseeeee

Ya nini kuwekana roho juu mwishowe raha isipatikane sababu ya kuwaza wapita njia.
Hahaha acha uoga swaiba, genye zingalipo hakunaga kuwaza wapita njia, tena nasikia kwenye makaburi ndo inanoga zaidi. (Wanasemaga hakuna penzi tamu kama unalofanya kwa hiyari yako mwenyewe ukiwa na hofu).
 
Back
Top Bottom