Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,018
- 125,977
Hahaha acha uoga swaiba, genye zingalipo hakunaga kuwaza wapita njia, tena nasikia kwenye makaburi ndo inanoga zaidi. (Wanasemaga hakuna penzi tamu kama unalofanya kwa hiyari yako mwenyewe ukiwa na hofu).[emoji40] [emoji125]
Mmh. Swahiba kwa mie hapana bana wacha tu huo utamu niukose.
Kwani swahiba we ushawahi nini? [emoji23]