Mapenzi ya vichochoroni

Mapenzi ya vichochoroni

thandiwe

Senior Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
163
Reaction score
164
Hi guys,

Inashangaza mno, wakina kaka na wakina dada wenzangu bado mnafanya mapenzi ya vichochoroni. Juzi hapa narejea zangu kwa nyumba, usiku mitaa ya jirani nasikia zile kelele za watu wakifanya mapenzi pembeni kwa njia, vile nazidi sogea nikaona kaka kakamatia, eeish

Mnashindwa hata 15 ya guest house? So sad! Tubadilike jamani tunatiana aibu na wewe dada kama huyo anakufanya hivyo jua anakudhalilisha sana.
 
Jaribu siku moja.... yana raha yake...... na watu wanaenjoy🙄 Mapenzi sio lazima Gest kitandani. Hata mchangani yananogaga cha maana uchague sehemu safi, nzuri, yenye utulivuuuuuu Ushawahi kugegedwa huku unaangalia nyota na mwezi weyeeeee!
 
Hi guys,

Inashangaza mno, wakina kaka na wakina dada wenzangu bado mimi nafanya mapenzi ya vichochoroni. Juzi hapa narejea zangu kwa nyumba, usiku mitaa ya jirani nasikia zile kelele za watu wakifanya mapenzi pembeni kwa njia, vile nazidi sogea nikaona kaka kakamatia, eeish

Mnashindwa hata 15 ya guest house? So sad! Tubadilike jamani tunatiana aibu na wewe dada kama huyo anakufanya hivyo jua anakudhalilisha sana.

Hatuna pesa dada tutafanyaje sasa na hamu tunayo.
 
Hahaha.... mwombe ka video kama alichukua basi
nilitaka nikuambie umwombe maana yeye mwenyewe ndo mhusika
rejea uzi wake utaelewa
wewe atakupa bhana omba halafu unipatie na mimi

teh
 
Si ndicho nilichoshangaa eti "mimi".
 
Hi guys,

Inashangaza mno, wakina kaka na wakina dada wenzangu bado mnafanya mapenzi ya vichochoroni. Juzi hapa narejea zangu kwa nyumba, usiku mitaa ya jirani nasikia zile kelele za watu wakifanya mapenzi pembeni kwa njia, vile nazidi sogea nikaona kaka kakamatia, eeish

Mnashindwa hata 15 ya guest house? So sad! Tubadilike jamani tunatiana aibu na wewe dada kama huyo anakufanya hivyo jua anakudhalilisha sana.
Kwa usawa wa magu 15,000 ni sawa na kilo ngapi za unga wa,sembe?,ni kg 15 mnakula mwezi au week 2,kugegedana guest au kichochoroni utamu unakua huo huo,tena za uchochoroni za kuiba iba zinakua tamu zaidi
 
Hi guys,

Inashangaza mno, wakina kaka na wakina dada wenzangu bado mnafanya mapenzi ya vichochoroni. Juzi hapa narejea zangu kwa nyumba, usiku mitaa ya jirani nasikia zile kelele za watu wakifanya mapenzi pembeni kwa njia, vile nazidi sogea nikaona kaka kakamatia, eeish

Mnashindwa hata 15 ya guest house? So sad! Tubadilike jamani tunatiana aibu na wewe dada kama huyo anakufanya hivyo jua anakudhalilisha sana.
Si ungewapa 15 waende gest
 
Hivi unazijua nyege vizuri ama unazisikia tu bi dada?
 
ukiwa mzigoni macho yapo attention mita 100 pande zote za za dunia
 
Back
Top Bottom