Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,320
- 33,125
Mkuu@Bujibuji Usimuache hata kidogo Mkuu mimi nilikuwa na Mpenzi wangu miaka 1978 wakatii namaliza shule ya msingi nilikuwa nampenda sana mtoto wa kichaga anaitwa moshi lakini mpaka leo sijamsahau kwa mapenzi yake ingawa nipo mbali sina mawasiliano nae natamani niwe na mawasiliano nae wewe fanya juu chini usimuache huyo mpenzi wako wa utotoni. Nikirudi kama bado atakuwa yupo hai nitamtafuta kwa hali na mali nakuambia ukweli.Dah, hadi leo leo naendelea kumpenda msichana wangu wa utotoni. Huwa tunapigiana simu mara kwa mara, kwa sasa yeye yuko Iringa na mimi niko Dar.
Naikumbuka pia mimba yetu ya utotoni, sema bahati haikuwa yetu.
Mkuu@Bujibuji Usimuache hata kidogo Mkuu mimi nilikuwa na Mpenzi wangu miaka 1978 wakatii namaliza shule ya msingi nilikuwa nampenda sana mtoto wa kichaga anaitwa moshi lakini mpaka leo sijamsahau kwa mapenzi yake ingawa nipo mbali sina mawasiliano nae natamani niwe na mawasiliano nae wewe fanya juu chini usimuache huyo mpenzi wako wa utotoni. Nikirudi kama bado atakuwa yupo hai nitamtafuta kwa hali na mali nakuambia ukweli.
@BAK Mkuu miaka mingi imepita si rahisi kumpata sasa yapata miaka 32 yeye mwenyewe atakuwa ameshanisahau Mkuu.Yanini kusubiri hadi utakaporudi? Mtafute kupitia hapa si ajabu yumo humu LOL!
BAK Mkuu miaka mingi imepita si rahisi kumpata sasa yapata miaka 32 yeye mwenyewe atakuwa ameshanisahau Mkuu.
haya ni matunda ya baba na mama kulala chumba kimoja akidhani watoto wamelala na kuanza kujirusha kitandani kumbe watoto nao wanachukua darasa kimyakimya....................makubwa haya
Mmhhh, kazi kwelikweli!!!! Hawa lazima watakuwa ni waswahili. Hakika mtoto wa nyoka ni nyoka.
Mkuu, tofauti na mapenzi ya ukubwani ambayo mara nyingi unakuta yana-base kwenye factor nyingi kama vile vijisenti n.k. mapenzi ya utotoni yanakuwa ni mapenzi ya kweli ya kutoka moyoni.Duh kweli ya kale
Namkumbuka wa kwangu wa darasa la saba
Sijui yuko wapi aise
Yaani ilikuwa ni balaa mapenzi ya utotoni ambayo huwezi kuyalinganisha na ya sasa ya dot com
Dah hao watoto,,,,,wameyaona wapi????