love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,164
Du! Basi poleni. Nilikuwa nachukulia poaUsiombe kabisa yaani, ingewezekana kuazimana nikupe hii ya kwangu usiku mmoja tu alafu ufanyiwe hivyo utagalagala mpaka kunakucha
Du! Basi poleni. Nilikuwa nachukulia poaUsiombe kabisa yaani, ingewezekana kuazimana nikupe hii ya kwangu usiku mmoja tu alafu ufanyiwe hivyo utagalagala mpaka kunakucha
Aisee ingekuwa rahisi hivyo mtu unashika tu ningeshakuja kushikaVipi kuguna?
Halafu aje tena humu alalamike Story za wasichana michosho tu....Wanaume wa Dar ni wavivu kula ugali hadi kuongea.
Yaani mwanaume wa Daslam anataka yeye ndie apigishwe stories na mdada...[emoji12] [emoji12]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Ukisikia kula kwa macho ndo huku sasaAisee ingekuwa rahisi hivyo mtu unashika tu ningeshakuja kushika
Asante. Usije ukanufanyia hivyoDu! Basi poleni. Nilikuwa nachukulia poa
Hebu siku moja fanya kweli love b[emoji12] [emoji12] [emoji12] Ukisikia kula kwa macho ndo huku sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sawaAsante. Usije ukanufanyia hivyo
Unavyoitikia sasa[emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa
UsijaliHebu siku moja fanya kweli love b
Kwa hiyo ulitaka niitike vipi?Unavyoitikia sasa[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]hivyohivyoKwa hiyo ulitaka niitike vipi?
Oookey[emoji23][emoji23][emoji23]hivyohivyo
Polee. Njoo nkupoze motoHapa minaungua kuliko yule wa morogoro wallah, maana sio kwa nguvu ya mvutano huo haki....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hahahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi kwako ushimen
Mbona rahisi tuAisee ingekuwa rahisi hivyo mtu unashika tu ningeshakuja kushika
Wanawake wa zamani walikuaje?Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!
Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
Ushimen!!!![emoji351] [emoji351]Polee. Njoo nkupoze moto
Ni rahisi kusema lkn mpaka uvue kizibo cha asali ni processMbona rahisi tu
Naona mbuzi anaelekea kibla mlangoni kwa muuza supu......[emoji12] [emoji12] [emoji12] .[emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi kwako ushimen