Mapenzi ya siku hizi michosho tuu

Mapenzi ya siku hizi michosho tuu

Unakuta unatoka na demu out, tena abda umemsafirisha toka mkoa mwingine. mkifika sehemu labda pub yaani kazi yake ni kula na kunywa na fuuul kuchati, hata cjui anakuwa anachati na nani hakuna hata maongezi, mxewuuuuuu!!!

Unaishia kuchunwa tuu hata story hamna, inaboa saana.
Unawivu sana wewe utakufa, mapenzi hayataki miwivuuuu
 
Back
Top Bottom