Mapenzi ya shule yalikuaga yanafurahisha

Mapenzi ya shule yalikuaga yanafurahisha

Hahahaha hiyo kweli kabisa, kumbe ule utani wa mchumba mchumba kuna wengine wanakua serious wanawekeza kabisa hisia zao kama ndugu yetu Castr

Mi sijasema kama alikua mtu wangu. Nimesema nilijihisi kumpenda ila sikuwahi kumuambia. Crush may be?

Na sikuwahi kumuambia kwakua sikuweza kuongea nikaresort kua mkia wake.

Uchumba uchumba ulikuja la sita na Jema halafu na Siti.
 
Ndio hisia zenyewe hizo, tulichoshangaa ni mtoto wa darasa la kwanza pengine mwenye miaka 6,7au 8 kua tayari anahisia za kimapenzi na mtu....

Anyway hongera Dullaaaaaa
 
Ndio hisia zenyewe hizo, tulichoshangaa ni mtoto wa darasa la kwanza pengine mwenye miaka 6,7au 8 kua tayari anahisia za kimapenzi na mtu....

Anyway hongera Dullaaaaaa
Malizia na Kiroba.
 
Haha huu Uzi unachekesha

Nilikuwa nae toka msingi I kiss her for the first time nadhan ilikuwa la sita ile enzi hzo tunakaa kwenye madawati watatu au hata wanne basi mwamba nilihamia back benja ukutani kabisa mtoto kila saa nikugeuza shingo chapombe junior atakuwa anafanyaje sahivi kipindi kile nilikuwa mcheshi nilikubalika kichizi ticha akitoka class basi pale kwenye dawati langu sikosi watu kuja kupiga zoga akija wa kike atanuna kichizi saa NNE anakwambia yule si mtu wako kweli ? Daah na wivu aliuanza mapema toka standard 4

Tumefika la saba kama kawaida nikawah back benjer mtoto na yeye huyo hapo dawati la pili kutoka mwisho naona alichoka kugeuka wahuni walikuwa hawapend kichiz mabint kukaa nyuma maana yeye aliamia na cabinet yake walikaa watatu

Kuna kipindi nilikuwa siandiki notes ananipa daftari lake nageuza jalada kule alikoandika jina lake kwa juu naandika chapombe junior ticha akipita akikagua anajua langu sijui walikuwa wanakagua ili mradi maana ndo michezo yetu na walishindwa tambua ,alikua aniandikia notes, saa NNE tu ni Mara chache tunaonekana wote maana mwamba chapombe sometimes naweza kuwa nacheza "sodo" so nakuwa spo nae hata hvyo tulikuwa orphanage kwa hyo tukirudi kwenye mpango kazi ndo tunakuwa wote na baadhi ya daily routine

Chuo

Tulipangiwa chuo kimoja ila kozi tofauti yangu miaka minne ye mitatu na alikuwa msaada mkubwa kwangu

Ila Mtoa mada mapenzi ya kweli sio msingi tu hata mtaani tu sema hujakutana na mtu sahihi unakutana na wale legendary slay queen au binti chawa hata umuhudumie vipi upige paipu vya kutosha lazima mtapangwa tu [emoji23]
 
Hahahaha hiyo kweli kabisa, kumbe ule utani wa mchumba mchumba kuna wengine wanakua serious wanawekeza kabisa hisia zao kama ndugu yetu Castr
watu wanakua nazo maana mabro wanakuwa wanaipa uzito zaidi 😂😂, ukiambiwa watu wanaanza kuwa na macrush umri gani utacheka asee maana ni kabla ya balehe
 
hata kama alianza na miaka 10-12 kwa zaman umri huo mtu hajabalehe wala kuwaza ngono, nadhani huyu bwana anajarbu kutulisha matango pori.

inategemeana na ulikulia wapi mkuu, wengine 10-12 tayari mshaanza kujua kupendana na mnakuwa mmeshaanza kupata idea ya sex ingawa hampeform actual sex. ukijua michezo ya kombolela kilikuwa kunafanyika nini utafuta comment yako
 
unaongelea zamani ipi mkuu? kama ni ya 2000 ni sawa bt kama ni huko nyuma umewrong
 
hata kama alianza na miaka 10-12 kwa zaman umri huo mtu hajabalehe wala kuwaza ngono, nadhani huyu bwana anajarbu kutulisha matango pori.
Watu tumeanza kupenda hatujabalehe
balehe inatukuta kwenye real love
 
hata kama alianza na miaka 10-12 kwa zaman umri huo mtu hajabalehe wala kuwaza ngono, nadhani huyu bwana anajarbu kutulisha matango pori.
Unaona ajabu kupenda katika umri huo. Sisi movie zilituchanganya hasa zile za kihindi. Mimi nikiwa darasa la kwanza nishajua kuandika "I love you so much" na shule zetu za kawaida.
Ile tunacheza mchezo flani unafanana na tule sote kuna adhabu mtu anapata akifanya, mimi nilikuwa naomba kiss kwa dogo mmoja mzuri hadi leo. Alafu unasema at 10-12 years mtu hajawaza ngono? Aisee, mimi na wahuni kibao tulikuwa na mademu enzi hizo na sex zinafanyika tena planned sio za kushtukiza.

Inaonekana ulikulia geti kali. Nilizoea mademu mapema mpaka sasa hawanibabaishi.
 
Haya yote yalitokea ukiwa darasa la kwanza? La kwanza hili hili la miaka sita au?
Miaka sita? Wengine tumeingia la kwanza na miaka 10 kwa hiyo ukiambiwa darasa la tatu nilikuwa na mpenzi hata usishangae
 
Pale form 3 Eliza alinitongoza weee nikakataa.
Advance **** akanipa mambo motomoto
Tunakula wote.
Tunatoroka wote tunaenda town kugonga mavitu.
Weekend anaenda home anarudi na mazagazaga kama yote muhuni sili maharage.
Nafuliwa mpaka soksi nakupasiwa basi mi mda wote na shine.
Nilikua nampigisha kitabu saana mana ye akiwa form 3 mi nlikua form 6.
Tulipendana saaana.
Sahv tunawasiliana tu kawaida coz tupo long distance.
 
ambao hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano kipindi tupo shule tuna- comment wapi????
 
ambao hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano kipindi tupo shule tuna- comment wapi????
Hata mimi mtoa mada sijawahi ku engage in a relationship at school I'm just recalling to the experiences of other relationships I had witnessed !!
 
Pale form 3 Eliza alinitongoza weee nikakataa.
Advance **** akanipa mambo motomoto
Tunakula wote.
Tunatoroka wote tunaenda town kugonga mavitu.
Weekend anaenda home anarudi na mazagazaga kama yote muhuni sili maharage.
Nafuliwa mpaka soksi nakupasiwa basi mi mda wote na shine.
Nilikua nampigisha kitabu saana mana ye akiwa form 3 mi nlikua form 6.
Tulipendana saaana.
Sahv tunawasiliana tu kawaida coz tupo long distance.
Don't let distance affect your relationships bana fanya kuwasiliana nae maybe one day you'll make it na mtakuwa pamoja..
 
Back
Top Bottom