Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

Habari waungwana,

Nawasimulia kwa ufipi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo.

Nilipokuwa kidato cha pili nilikiwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa kiswahili akasema wanataka kuanzisha kikundi cha ngoma shuleni kwa ajili ya kupokea mwenge maana ulikuwa unalala shuleni kwetu. Basi moja ya watu waliochaguliwa na mimi nilichaguliwa kujiunga na kikundi hicho ila sikutaka maana kwakweli nilikuwa na aibu mmno na sikuwa najua kucheza ngoma.
Heshima kwa R , amenifunza utafutaji na uwajibikaji kwa mpenzio, hata yanapo haribika.
 
Pole, sana mkuu kwa hayo yote, R.I P R hakika jamaa alikuwa na mapenzi ya kweli sana kwako. Wanaume wachache sana Wa Sikh hizi wenye mapenzi ya kweli namna hiyo. Kweli kizuri hakidumu.

Lakin badae ulikuja kujua R alifariki kwa ugonjwa gan, malaria tu? Au. Mungu ambariki mwanao azidi kuwa na akili nzuri
Nimejikuta nalia eti daaa, kwa kua umeniuliza acha tu nikujibu.

Kifupi mpaka leo sijui alifariki kwa ugonjwa gani, baada ya mimi kurudi shule ndugu nasikia walienda kwa mganga, maana ziliibuka imani za kishirikina kwa upande wa wao. (Alinambia rafiki wa marehemu)

Mganga akawambiwa ametolewa kafara na mtu aliekuwa anapendana sana na marehemu. Ambaye alikuwa anashirikian kila kitu na marehemu kifupi marehemu alikuwa anamapenzi makubwa na huyo mtu na alikuwa akimuamini sana.

Ndugu wa marehemu wakafikiria ni nani wakasema mtu aliekuwa akipendwa sana na marehemu ni mama A ambaye ni mimi sasa.

Hivyo wakasena basi nitakua nimemuua ili mimi nichukue akili zake ati nisome. Kumbuka niko shule na sijui kinachoendelea.

Kumbe mganga akawaambia kuwa mganga nilieenda ana nguvu sana na hawezi kurudi hata wafanye nini wakijaribu chochote wataisha ila wanaweza lipa kisasi kwa kuniua na mimi.

Nasikia walifanya mambo yao nife ila Mungu mkubwa sikujua wala kuumwa hata mafua mpaka namaliza masomo.

Rafiki wa R alikuwa akiulizwa baadhi ya vitu maana yeye alikiwa karibu sana na sisi na akalazimika kushirikishwa kila kitu ila yeye hakuafiki hilo hata kidogo maana mimi alikuwa akijua vyema siwezi fanya hivyo hata iweje.

Nilipomaliza masomo nilirudi na kwenda kuwaona wakwe zangu ila hawakunipokea vyema niliwasalimia wakaitika tu kisha wakaingia ndani na kuniacha nje kama masaa 2 nikabeba mwanangu nikaondoka. Ndio kuja kupewa mkanda mzima na rafiki wa marehemu baada ya kukutana nae.

Tangu hapo sijawahi kwenda wala wao kuja na mama alishahama pale so hata hawajui mtoto alipo wala mimi nilipo.

Kifupi ni hivyo sijui ugonjwa uliomuua.
 
Habari waungwana,

Nawasimulia kwa ufipi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo.

Nilipokuwa kidato cha pili nilikiwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa kiswahili akasema wanataka kuanzisha kikundi cha ngoma shuleni kwa ajili ya kupokea mwenge maana ulikuwa unalala shuleni kwetu. Basi moja ya
Pole sana nimependa uandishi wako na story kwa ujumla,,yan nimekuhurumia sana na R kama namuona MUNGU ampe wepes huko aliko,,mtunze sana huyo mtoto pia wakumbuke sana wazaz wa R kama wapo hai, Mungu akupe wepes nawe ufanikiwe nataman kukupenda ili nisukuumize niwe kama R alivyokupenda ila umri wangu ni 20 yrs,,god bless u....daa!.
 
Pole sana.,

Hahaaaaaa mkuu, mpende tu uliyenae
 
Back
Top Bottom