Natakakutulia
Member
- Jan 20, 2020
- 59
- 391
- Thread starter
- #41
Pole, huenda nilitakiwa kuigawa nipost vipande vipande.Nimeshindwa kuendelea kusoma story yako ndefu sanangoja nitulie pembeni na porpcon zangu niendelee kusoma comment za watu
Pole, huenda nilitakiwa kuigawa nipost vipande vipande.Nimeshindwa kuendelea kusoma story yako ndefu sanangoja nitulie pembeni na porpcon zangu niendelee kusoma comment za watu
OkNaipenda
Hii ni kitambo miaka 20 nyuma,wakati huo watu walikuwa wanajishughulisha na kujituma hakukuwa na mambo ya kudanga bado ustaarabu ulikuwepoUtasikia mtu anajiita star anahubiri eti hakuna ndoa bila hela, mbona hii pisi kali ilidumu katika shida na raha.
Ana miaka mingapi na amefika level gani ya kukanyaga umande?mwenyewe naumiaga tu nikimuona mwanangu.
HahahaahaaNikiamka nitasoma
Ila wema hawadumu mtunze mwanao umenifunza penye Nia pana njia waweza weka hii katika filamu kumuenzi R na elimu ktka jamiiNajua, wasikate tamaa waamini Mungu yupo kuna siku watashinda. Hata mimi nimepitia mengi sana siku nikipata muda nitasimulia te a mikasa mingine ambayo ya maumivu ila Mungu ananishindia na naendelea kupambana.
Aloha! HawaiianMahaloAaah ndio Nini kutoana machozi aisee! Hongera zako ! RIP R! Umeacha alama !
Bi Dada kapangilia stori vizuri inayokuvutia na kutamani kujua matukio ya mbeleni.Aiseee nadhani umevunja rekodi ya kuandika MKEKA umemzidi hadi ROBERT HERIEL
Ana miaka 14, yupo kidato cha piliAna miaka mingapi na amefika level gani ya kukanyaga umande?
Ni kweli wema hawadumu,Ila wema hawadumu mtunze mwanao umenifunza penye Nia pana njia waweza weka hii katika filamu kumuenzi R na elimu ktka jamii
Hongera sana kwake na wewe pia katika hii hatua mliyofikia.Ana miaka 14, yupo kidato cha pili
Pia waweza uza stori yako katika simulizi za sauti mtafute jamaa anaitwa Ananias edga na Denis mpaganze, nitakushkuru SanaNi kweli wema hawadumu,
Nikipata mtu wa kusaidia hili wazo lako nitafanya hivyo na kusimulia visa vingi zaidi.
Sawa mkuu asante sana, nitamtafutaPia waweza uza stori yako katika simulizi za sauti mtafute jamaa anaitwa Ananias edga na Denis mpaganze, nitakushkuru Sana
Yaani mkuu acha tu ni katika kujinusuru tu.Hongera sana kwake na wewe pia katika hii hatua mliyofikia.
Ila umenichekesha sana ulipomuomba mdogo wako mkojo ukautumie kwa UPT test, hahahaaa.
Ulikuwa mdadisi sana hadi ukatambua kuwa Nesi alitumia mkojo kupima ujauzito
Aisee, pole sana kwa misukosuko ya Maisha, R alikuwa vizuri sana kulinganisha na umri wake..