Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 669
- 1,516
Nilalamike kwako?Kama vile hulalamiki, ila unalalamika.
Anyway, kila la kheri kwenu
Nani kasema unalalamika kwangu?Nilalamike kwako?
Unaonaje ukishika hamsini zako kiroho safi kabisa?Nani kasema unalalamika kwangu?
ππUnaonaje ukishika hamsini zako kiroho safi kabisa?
Una mapenzi ya dhati kwake kwa sasa.....angalia usijemzoea ukaona ulioa mzigo kwa baadhi ya uhitaji atakohitaji kwakoShow ndogo tu hiyo. Kuna mengi mazuri zaidi ya kumfanyia na kumsaidia
KimandongaKama vile hulalamiki, ila unalalamika.
Anyway, kila la kheri kwenu
π€£π€£Kama vile hulalamiki, ila unalalamika.
Anyway, kila la kheri kwenu
Amenifukuza kwenye Uzi wake. Ngoja nisicomment. Ila najua alinielewa π π πNi kama umepanic baada ya kutokumwelewa kipenzi Analyse .......kulalamika alimaanisha yaan ni km unalalamika juu ya kumpenda binti mwenye ulemavu, au ni kama haujalalamika vile......
Mungu na azidi kuwabariki na kuwalindaKwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana.
Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga kukutana naye Slipway.
Ijumaa jioni baada ya saa za kazi nikawa nimepiga kambi Waterfront Bar, nikaangiza kinywaji changu huku nikimsubiri mrembo.
Haikuchukua muda mrefu, angaingia msichana mrefu mweupe. Nikamkaribisha kwa hug moja matata sana.
Ule ulemavu wa mkono wake uliokatwa baada ya yeye kupata ajali, kwangu sijaona kwamba ni kasoro wala dosari. Nimeona ni chachu ya mimi kumpa moyo wangu wote, kumpenda zaidi na kumtunza kikamilifu.
Huyu binti sitaki nimuache, daima amekuwa akilini mwangu. Sijawahi kupenda namna hii.
Namuomba Mungu aliimarishe penzi letu hata tuufikie mwisho mwema
Na wewe usiwe na kifua cha ivo.......Amenifukuza kwenye Uzi wake. Ngoja nisicomment. Ila najua alinielewa π π π
Me nimechukulia kawaida tu, sijataka kumtibua zaidi. Siumeona alivyoonba kistaarabu niachane na mada yake? π πNa wewe usiwe na kifua cha ivo.......
daah hii comment bhanaKama vile hulalamiki, ila unalalamika.
Anyway, kila la kheri kwenu
Bila shaka ana pesa kukuzidi. Kwa tabia zako si rahisi umpende mlemavu hivi hivi tuKwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana.