Mapenzi ya kweli kumbe yapo

Mapenzi ya kweli kumbe yapo

MUNGU hachagui kama unavyo chagua wewe....

Kuna mwalimu mmoja yupo lake zone yupo kama huyo mwanaume Alie oa...
He has a very strong family 😊😊

Inawezekana pia hata sisi ni walemavu watarajiwa maana waswahili husema hujafa hujaumbika.....
Nafuu kuwa na ulemavu wa viungo kuliko ulemavu wa ''utu''. Yaani binadamu unatenda kama huna utu.
 
Asante sana. Kuna watu wanatoa comments za kuhuzunisha sana. Utadhani siyo binadamu. Infact Afrika watu wengi hatuna utu.
Kama Hana barriers zozote huyo ni kama mimi tu

Ulemavu ni ule ambao huwezi fanya kitu hata ukipewa sapoti ya kitu
Mimi Nina shida ya masikio siwezi kuongea kwenye simu lakin nikiwa na earphone nasikia vzr sana hapo huwezi sema Mimi mlemavu no Nina usikivu hafifu

Bongo bado uelewa mdogo sana kwenye haya mambo Kuna wengine wanasema eti ukiwa na ulemavu Fulani kwenye ukoo ni laana doh God forbid
 
Na wewe na ma-equation yote unaamini kuwa ulemavu ni kikwazo kwenye kuchepuka? Kwanza huu ni unyanyapaa.
Wengi huwa hatupendi kuweka ukweli, zaidi ya hisia; na kumpata mtu atakayejali hisia, pia ni changamoto.
Kwa mazingira yale, kuna mmoja atakuwa amejishusha zaidi ili lengo litimie; na mwisho wa siku ni kukubali matokeo huko mbeleni.
 
Siku zote ili mfike lazima mmoja akubali kujishusha sisi waislam dini yetu inatuambia ni LAZIMA um TII mumeo
So lazima ukubali kuongozwa na mumeo haimaanishi kwamba umuogope no,au umsikilize Kila kitu hapana Ila unatakiwa umtii ndo kujishusha kwenyewe
 
Nakubaliana na hoja yako, kwa haya mazingira ili idumu inabidi me ndio ajishushe zaidi, ata kama atasikia mwenzie anachepuka, inabidi kuwa mpole.
Ingawa asili ya viumbe, dume ameumbwa kutawala.​
 
Sasa unaweza Kuta sio hivyo, maana naskia jamaa yupo vzr zaidi

Nina rafiki yangu yupo Kama huyo jamaa Ila kwa mkewe hapelekeshwi na mke pisi hivyo hivyo Ila he's financially good

Mwisho wa siku ukiwa wakiume tafuta hela hata Kama ukiwa umekamilika Kama huna ela uwezi mtawala hata kuku utamuacha tu akazulule
 
Salio ndio limenunua penzi; hakuna mapenzi ya dhati, ni maigizo.
 
Back
Top Bottom