Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,289
- 40,522
Mlemavu atakua fundi ana madini adimu + mguu wa mtoto
wee .nani kasema ,umalaya ni hulka utashangaa anachepuka etiDada wa watu kajichagulia mtu wake anaejua ni ngumu kumsaliti/kutamaniwa na mwanamke mwingine, kwahiyo penzi lao litakua salama. Nimeipenda mbinu yake ya kivita.
Mwanamke hafanyagi biashara ya kubet ktika mapenzi.Kuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343
TRA wameacha kukusanya mapato?Kuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343
asante... Nimesharidhika...Dah pole sana Brother,usilie ipo siku utampata wako. Huyo halikua fungu lako.
Yaani hawa viumbe!! Tukiwapenda taabu, tukiwaigizia napo taabu. Sijui hata ni nini wanataka🙆🙆🙆Comment za humu zinafikirisha sana.
As if mtu akiwa mlemavu hana haki ya kupenda ama kupendwa mjaka awe na kitu cha ziada labda pesa ama wadhifa ndo apendwe.
Kuishi na jamii za hivi inataka moyo sana.hasa waafrica
Badilikeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui wanataka niniYaani hawa viumbe!! Tukiwapenda taabu, tukiwaigizia napo taabu. Sijui hata ni nini wanataka![]()
Kwanini pesa na sio mapenzi?Alieko tra ni mwanaume sio huyo dada na huyo mlemavu Yuko kitengo kizuri tra huyo dada amefata pesa hamna mapenzi hapo hio video ninayo huyo dada amefata pesa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kaveli kwema? Nimeona heading kwa pm lakini bahati mbaya nashindwa kufungua pm tangu muda tu maana inagoma kufunguka.Mwanamke wa hivyo labda umchore mwenyewe kwenye karatasi!
Taja na kazi ya Mwanaume...
-Kaveli-
Kaveli kwema? Nimeona heading kwa pm lakini bahati mbaya nashindwa kufungua pm tangu muda tu maana inagoma kufunguka.
Inbox yangu,Pm ya nani? Heading inasemaje?
-Kaveli-
ATAIKALIAMkuu swali langu kwenye kuichakata hiyo mbususu haiwezi kua na changamoto au ataichakata vizuri kabisa maana huyo mdada ni Big booty
Old proverb
Mapenzi yapo moyoni na hudhihirika Kwa vitendo sio maneno
Hatariii.Kwa hiyo jamaa anamfikisha kilele Cha mlima evaristHao jamaa Mungu huwa anawabalancia kwenye centre bolt unaambiwa wanasmamia ugoko sana hao ndo mana kuna mkoa X yupo mmoja ni kiboko ya mashangingi
Mkuu,ATAIKALIA