mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 93,795
- 132,008
- Thread starter
- #21
AiseJamaa ni milionea alibeti akashinda jackpot sportpesa
Usidhani huyo dada ni tofauti na wanawake wengine
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Ova
AiseJamaa ni milionea alibeti akashinda jackpot sportpesa
Usidhani huyo dada ni tofauti na wanawake wengine
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Bado ni TRATRA kitengo gani??usikute Yupo Mapokezi anasainisha watu muda wa kuingia na kutoka
Leta na Kazi ya Bwama Harusi
True Love never die...Kuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343
Hatari sana ,Mr Maduhu kapata ChomboHatari sana
Mtoto yuko natural
Ova
Kwa kweliInahitaji moyo wa jiwe...nimewaza mengi...
Dah huyo mlemavu ameamua kujifungia na chatu chumbani?Kuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343
We usingeweza?Inahitaji moyo wa jiwe...nimewaza mengi...
Mkuu swali langu kwenye kuichakata hiyo mbususu haiwezi kua na changamoto au ataichakata vizuri kabisa maana huyo mdada ni Big bootyMapenzi ya kweli yapo kumbe
Ova
Kwani ndio anaenda kuchakata kwa mara ya kwanza? Hao ni wapenzi wa muda tuMkuu swali langu kwenye kuichakata hiyo mbususu haiwezi kua na changamoto au ataichakata vizuri kabisa maana huyo mdada ni Big booty
Old proverb
Mapenzi yapo moyoni a hudhihirika Kwa vitendo sio maneno
Atakua kamkosea Mungu aiseeWanawake huwajui tu,ukiwatajia Ndoa tu wanajitoa ufahamu.Nitaumia sana akimuumiza msela.
Vizuri mkuu,Kwani ndio anaenda kuchakata kwa mara ya kwanza? Hao ni wapenzi wa muda tu
Mungu ndie anaejua.... 😊 😊 😊 😊We usingeweza?