Mapenzi ya kweli kumbe yapo

Mapenzi ya kweli kumbe yapo

Jamaa yupo TRA na huyo bibie yupo UN so wote wapo vizuri mfukoni

UN au UNV? Mwanamke wa kiafrika hajawahi kutosheka na pesa zake mentally. They always depend on spending yours.

Kuna business woman mkongwe, ex-MP, currently a senior staff at TAWA, lakini bado analilia masalia ya maokoto kwenye mirathi ya marehemu mumewe.

-Kaveli-
 
Dada wa watu kajichagulia mtu wake anaejua ni ngumu kumsaliti/kutamaniwa na mwanamke mwingine, kwahiyo penzi lao litakua salama. Nimeipenda mbinu yake ya kivita.
Nani kakuambia hawezi kusalitiwa? Watu kweli dunia hamjaijua.
 
Mapenzi ya kweli yapo kumbe

Ova
Mkuu mrangi hii sehemu kama Ulaya ipo sana. Wanawake wa kizungu wana misimamo imara kwenye mapenzi japo siyo wote. Kuna jamaa mmoja yuko kama taahira kidogo lakini alivyoopoa mtoto wa kizungu mkali hata mimi nilishangaa. Wana watoto wawili mpaka sasa na mmoja ya watoto wake amechukua ulemavu wa baba.
 
Dada wa watu kajichagulia mtu wake anaejua ni ngumu kumsaliti/kutamaniwa na mwanamke mwingine, kwahiyo penzi lao litakua salama. Nimeipenda mbinu yake ya kivita.
Dada mwenyewe hatasaliti? huu upande wa pili tusiache kuuzungumzia
 
Back
Top Bottom