Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,298
MwanaumeVizuri mkuu,
Kumbe unawafahamu...Kati ya mwanaume na mwanamke nani yupo TRA..
MwanaumeVizuri mkuu,
Kumbe unawafahamu...Kati ya mwanaume na mwanamke nani yupo TRA..
MUNGU hachagui kama unavyo chagua wewe....Inahitaji moyo wa jiwe...nimewaza mengi...
🙏🙏🙏Mungu ndie anaejua.... 😊 😊 😊 😊
Basi mwanamke atatulia maana maokoto ya mwanaume si haba.................Mwanaume
Hili ndio jibuNimesikia mwanaume ndo yupo TRA
Mr Maduhu ndio TRA, Mkewe Maria sijui ni anafanya wapi?Vizuri mkuu,
Kumbe unawafahamu...Kati ya mwanaume na mwanamke nani yupo TRA..
Abarikiwe Mr Maduhu.Kuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343
Mwanaume atakuwa ametumia nguvu ya salio; hapo mwanaume ndio kapenda zaidi.Mr Maduhu ndio TRA, Mkewe Maria sijui ni anafanya wapi?
Baada ya miaka 5 utatupa mrejesho; maamuzi mengi huwa yanafanyika kwa mihemko, mapenzi ya kweli ni kuyaishi na si kufunga ndoa tu, kuchapiwa ni siri ya ndani.Jamaa yupo TRA na huyo bibie yupo UN so wote wapo vizuri mfukoni
Ishu ya usaliti ktk ndoa ndugu haiepukiki nadhani hata ww au mm sote twapitia changamoto hiyo, daah jamaa anafaidi😊Baada ya miaka 5 utatupa mrejesho; maamuzi mengi huwa yanafanyika kwa mihemko, mapenzi ya kweli ni kuyaishi na si kufunga ndoa tu, kuchapiwa ni siri ya ndani.
Ehh jamaa dizain hizo wanakuwaga mafundi kweli mzeeMkuu swali langu kwenye kuichakata hiyo mbususu haiwezi kua na changamoto au ataichakata vizuri kabisa maana huyo mdada ni Big booty
Old proverb
Mapenzi yapo moyoni na hudhihirika Kwa vitendo sio maneno
Imetrend sana hiiKuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343