Umri wake huyo Dada?Ataki pasua kichwa ya hawa sixpack wapaka poda yupo salama hawezi salitiwa
Wanakuwaga na Mashine hao Punda anasubiria,nguvu zote zipo kwenye mshededeKuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343
How did u know that she is after moneyAlieko tra ni mwanaume sio huyo dada na huyo mlemavu Yuko kitengo kizuri tra huyo dada amefata pesa hamna mapenzi hapo hio video ninayo huyo dada amefata pesa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na kuna wengine pia wamebahatika wote kujishusha kwa misingi ya haki!!Siku zote ili mfike lazima mmoja akubali kujishusha sisi waislam dini yetu inatuambia ni LAZIMA um TII mumeo
So lazima ukubali kuongozwa na mumeo haimaanishi kwamba umuogope no,au umsikilize Kila kitu hapana Ila unatakiwa umtii ndo kujishusha kwenyewe
Jamii inayo aamini kwenye mali regardless what!!Comment za humu zinafikirisha sana.
As if mtu akiwa mlemavu hana haki ya kupenda ama kupendwa mjaka awe na kitu cha ziada labda pesa ama wadhifa ndo apendwe.
Kuishi na jamii za hivi inataka moyo sana.hasa waafrica
Badilikeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Umasikini ni kitu kibaya sana,maana unaamisha akili zako zote kutoka kwenye Utu na kuzipeleka kwenye Mali tu!!Kwanini pesa na sio mapenzi?
Do u Miss yourselfKuna video nimetumiwa inaonesha dada yuko TRA kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni mlemavu
Aise huyu dada Ana moyo wa kipeke kabisa kumbe mapenzi ya kweli bado yapo?
Ova
Miss Natafuta
Victoire
Sky Eclat
Bushmamy
Nifah
View attachment 2758343
, I mean the PERSON you were before pain
changed YOU 
Mapenzi ya kweli hamna yalikuwa enzi za nuhu Sasa ivi ukiona mwanamke ametulia na wewe ujue kuna Jambo analopata faida kwako na si vinginevo na Kama umeoa au hujaoa kosa pesa utajua tabia ya mwanamkeKwanini pesa na sio mapenzi?
Yes wapoNa kuna wengine pia wamebahatika wote kujishusha kwa misingi ya haki!!
Huku Raha tyuUmeona!![]()
AminaDada ana body ya maana, anyway MUNGU mwema