Mapenzi ya kuvizia hovyo kabisa.

Mapenzi ya kuvizia hovyo kabisa.

Hujadhamiria wewe vitu vidogo tu vinakutisha.watu wanashinda chumba cha mkaa wanaibukia usiku kwani hujui vita ni mbinu?

baba akikumbuka mavyuma vyuma yake kule store akaja kugongea gate lililoachia itakuaje?
 
Usikariri mwanamke akiamua kufanya kitu kwa ajiri yako hawezi shindwa ili mradi awe na mapenzi ya kweli,nan alikuambia vicheche wanakaa kwa mwanaume mmoja muda mrefu na huo ukicheche aufanye muda gani? tena wanawake vicheche ndo hujifanya kama wako bize sana wakitoa sababu kibao,mwanamke akikupenda hana sababu ya kukukatalia lolote

Kiongozi hujanielewa demu anaeishi kwa wazazi hawezi kufanya hivyo kama anajiheshimu ila kama anajitegemea hilo halina pingamizi ila sorry mkuu kama nimekukwaza
 
Kiongozi hujanielewa demu anaeishi kwa wazazi hawezi kufanya hivyo kama anajiheshimu ila kama anajitegemea hilo halina pingamizi ila sorry mkuu kama nimekukwaza

Me nimekuelewa sana tu kaka, hata umpende vipi mwanaume kama unakaa kwenu n unastaha n kutambua nn maana ya wazazi huez kwenda kumridhisha mpenzi huku unaacha msala kwenu asee hayo c mapenz n ushenz,,, n mwanaume anaekuchekea uharbikiwe hakutakii mema kabsaaaa
 
My dear mama la mama nilikua namjibu jamaa alieniambia nimekariri,kwa demu unaempenda hutataka awakosee wazazi wake heshi ma kwa kulala nje ya nyumbani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom