Mapenzi ya kuvizia hovyo kabisa.

Mapenzi ya kuvizia hovyo kabisa.

mkuu mbona hizo street watoto wako free sana!!

how comes huyo wako anakubania namna hiyo!?

au denti?

mimi ndo nakaa mbagala, yeye anakaa mbezi ya kimara Excel.
 
Last edited by a moderator:
oh-really-.jpg

nimekunyoshea mikono mkuu, hizi picha unazitengeneza au Tyta.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaa pole sana wengne tunalala nao hata wiki mbili then anaenda kwao,so hiyo dhana yako napingana nayo 100%
Ukiona hivyo ujue huyu demu wako kicheche hata wazazi hawana time nae
 
Ukiona hivyo ujue huyu demu wako kicheche hata wazazi hawana time nae
Usikariri mwanamke akiamua kufanya kitu kwa ajiri yako hawezi shindwa ili mradi awe na mapenzi ya kweli,nan alikuambia vicheche wanakaa kwa mwanaume mmoja muda mrefu na huo ukicheche aufanye muda gani? tena wanawake vicheche ndo hujifanya kama wako bize sana wakitoa sababu kibao,mwanamke akikupenda hana sababu ya kukukatalia lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom