To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,364
- 38,348
Mh! Kujisahaulisha tu na kujidhalilisha.Hawana loloteNimeshangaa au walikuwa hawana akili timam
Mh! Kujisahaulisha tu na kujidhalilisha.Hawana loloteNimeshangaa au walikuwa hawana akili timam
Niiteni mshamba tu aisee...I don't want thatWe hupendi kutawazwa!
Ndo uone sasa Mkuu. 😁Nikajua nmemaliza kila kitu dunia hii
Wew sio mtu ??
Wanafanya hivyo Ili wanawishane
Duh,kwakweli sijawahi kufanya na wala sifikirii kufanya...Yahh! Yani mtu anakunya we uko kwenye shower, akitoka we waenda. Thenn!!!!!!!????
Ohhoo!! Shauri yako. Mapenzi ni kichaaDuh,kwakweli sijawahi kufanya na wala sifikirii kufanya...
Suluhu ni katiba mpyaWanajamvi yale Mapenzi ya kihindi ya kuchat na kuongea muda wote,kuishi pamoja, kusaidiana pamoja,kutembea pamoja,kula pamoja,kuoga pamoja,kunya pamoja na kutawazana yanapotea kwa kasi sana.
Mapenzi ya kupeana namba siku hiyohiyo,kutongozana siku hiyohiyo,kuombana hela siku hiyohiyo mara ingine kupeana mzigo siku hiyohiyo na kuachana siku hiyohiyo yanakuja kwa kasi sana na tusipoangalia yanaweza kuyapoteza kabisa kwenye Ramani Mapenzi ya kunya pamoja.
Nini tatizo?Nini kifanyike?Tuokoe Mapenzi ya kunya pamoja?
Ni yeye 😆😆Hahahaaa. Lol.
Hivi wewe huwa ni yule mdogo wangu au ndo nimepuyanga?
a......
e.....
UmenisusaHahahaaa. Lol.
Hivi wewe huwa ni yule mdogo wangu au ndo nimepuyanga?
a......
e.....
No.2 ikae No.1Corona, ccm, shetani, na vita ya urus na ukraine ndio chanzo.
Mwenzangu mambo yalikuwa mengi mno mwaka jana ndo mana tukasusana. Ila subiri nikitulia nitakutafuta mdogo wangu.Ni yeye 😆😆
Umenisusa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu naona mimiWanajamvi yale Mapenzi ya kihindi ya kuchat na kuongea muda wote,kuishi pamoja, kusaidiana pamoja,kutembea pamoja,kula pamoja,kuoga pamoja,kunya pamoja na kutawazana yanapotea kwa kasi sana.
Mapenzi ya kupeana namba siku hiyohiyo,kutongozana siku hiyohiyo,kuombana hela siku hiyohiyo mara ingine kupeana mzigo siku hiyohiyo na kuachana siku hiyohiyo yanakuja kwa kasi sana na tusipoangalia yanaweza kuyapoteza kabisa kwenye Ramani Mapenzi ya kunya pamoja.
Nini tatizo?Nini kifanyike?Tuokoe Mapenzi ya kunya pamoja?
Jina lako mbona ni la hela ndefu sana? Halafu choka mbaya? Duh! Badili hiyo idKe mmoja alinipendaga kwa dhati sana kati ya miaka 16 - 28 na alikuwa anataka nimuoe ila umaskini wangu uliniponza mjanja mwenye mapene aliniwahi kumuoa.
Ila sasa hivi ndiyo naelewa maana ya Mke Mwema maana nafurahia amani ya mapenzi kuliko hata Ke wa awali.
Nimefurahi pia Dada 🥰🥰Mwenzangu mambo yalikuwa mengi mno mwaka jana ndo mana tukasusana. Ila subiri nikitulia nitakutafuta mdogo wangu.
Sema nini Mmefurahi mno mno. Lol.
kwenye CCM hapo ngoja nicheke kwanzaCorona, ccm, shetani, na vita ya urus na ukraine ndio chanzo.
Itakua wanapakatana, af wanaanza kupeana moyo na maneno ya motivation ili wasukume kimba. "Kunya bebi", jamani naumia, jitahidi hata mimi naumia, sukuma litoke jamani 🤣🤣🤣🤣Jamani ...mi nataka kujua wanakunyaje pamoja jamani ....