Mapenzi ya kufanya mambo pamoja yanazidi kupungua

Mapenzi ya kufanya mambo pamoja yanazidi kupungua

Mleta mada anamaanisha Yale mapenzi kindako ndak y'ako wapi!?..ametumia lugha ya picha kusema kunya pamoja..
 
Wanajamvi yale Mapenzi ya kihindi ya kuchat na kuongea muda wote,kuishi pamoja, kusaidiana pamoja,kutembea pamoja,kula pamoja,kuoga pamoja,kunya pamoja na kutawazana yanapotea kwa kasi sana.

Mapenzi ya kupeana namba siku hiyohiyo,kutongozana siku hiyohiyo,kuombana hela siku hiyohiyo mara ingine kupeana mzigo siku hiyohiyo na kuachana siku hiyohiyo yanakuja kwa kasi sana na tusipoangalia yanaweza kuyapoteza kabisa kwenye Ramani Mapenzi ya kunya pamoja.

Nini tatizo?Nini kifanyike?Tuokoe Mapenzi ya kunya pamoja?
Suluhu ni katiba mpya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu naona mimi
 
Ke mmoja alinipendaga kwa dhati sana kati ya miaka 16 - 28 na alikuwa anataka nimuoe ila umaskini wangu uliniponza mjanja mwenye mapene aliniwahi kumuoa.

Ila sasa hivi ndiyo naelewa maana ya Mke Mwema maana nafurahia amani ya mapenzi kuliko hata Ke wa awali.
Jina lako mbona ni la hela ndefu sana? Halafu choka mbaya? Duh! Badili hiyo id
 
Jamani ...mi nataka kujua wanakunyaje pamoja jamani ....
Itakua wanapakatana, af wanaanza kupeana moyo na maneno ya motivation ili wasukume kimba. "Kunya bebi", jamani naumia, jitahidi hata mimi naumia, sukuma litoke jamani 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom