Mapenzi ya kufanya mambo pamoja yanazidi kupungua

Mapenzi ya kufanya mambo pamoja yanazidi kupungua

Wanajamvi yale Mapenzi ya kihindi ya kuchat na kuongea muda wote,kuishi pamoja, kusaidiana pamoja,kutembea pamoja,kula pamoja,kuoga pamoja,kunya pamoja na kutawazana yanapotea kwa kasi sana.

Mapenzi ya kupeana namba siku hiyohiyo,kutongozana siku hiyohiyo,kuombana hela siku hiyohiyo mara ingine kupeana mzigo siku hiyohiyo na kuachana siku hiyohiyo yanakuja kwa kasi sana na tusipoangalia yanaweza kuyapoteza kabisa kwenye Ramani Mapenzi ya kunya pamoja.

Nini tatizo?Nini kifanyike?Tuokoe Mapenzi ya kunya pamoja?
Mnakunyaje pamoja .....
 
Kwa hiyo ukimaliza Kunya mavi yako ya kisamvu unamuita mpenzi wako ,bebii njoo unitawaze si ndio?
 
Kupendana ni kupotezeana muda, muambie mwenzako ukweli unataka kupasha basi. Mnagandana kila sehemu mnataka kutengeneza umeme?
 
Mwanaume unafichuaje siri kama hiyo yani hawara wako ajue kumbe na wewe unakunya!!? Hapo unaendelea kua mwanaume kweli?!!

Mke wangu mwenyewe hajawahi kujiridhisha na ratiba yangu kwamba kweli nimetoka kunya. Hua anaona nipo nipo tu
 
Nawaza tu, mnakunyaje pamoja, pale mnachuchumaaje au mnakaaje, au kuna tundu mbili?
 
Back
Top Bottom