Mapenzi ya kufanya mambo pamoja yanazidi kupungua

Mapenzi ya kufanya mambo pamoja yanazidi kupungua

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
Wanajamvi yale Mapenzi ya Kihindi ya kuchat na kuongea muda wote, kuishi pamoja, kusaidiana pamoja,kutembea pamoja, kula pamoja, kuoga pamoja, kunya pamoja na kutawazana yanapotea kwa kasi sana.

Mapenzi ya kupeana namba siku hiyohiyo, kutongozana siku hiyohiyo, kuombana hela siku hiyohiyo mara ingine kupeana mzigo siku hiyohiyo na kuachana siku hiyohiyo yanakuja kwa kasi sana na tusipoangalia yanaweza kuyapoteza kabisa kwenye Ramani Mapenzi ya kunya pamoja.

Nini tatizo? Nini kifanyike? Tuokoe Mapenzi ya kunya pamoja?
 
Ke mmoja alinipendaga kwa dhati sana kati ya miaka 16 - 28 na alikuwa anataka nimuoe ila umaskini wangu uliniponza mjanja mwenye mapene aliniwahi kumuoa.

Ila sasa hivi ndiyo naelewa maana ya Mke Mwema maana nafurahia amani ya mapenzi kuliko hata Ke wa awali.
 
Wanajamvi yale Mapenzi ya kihindi ya kuchat na kuongea muda wote,kuishi pamoja, kusaidiana pamoja,kutembea pamoja,kula pamoja,kuoga pamoja,kunya pamoja na kutawazana yanapotea kwa kasi sana.

Mapenzi ya kupeana namba siku hiyohiyo,kutongozana siku hiyohiyo,kuombana hela siku hiyohiyo mara ingine kupeana mzigo siku hiyohiyo na kuachana siku hiyohiyo yanakuja kwa kasi sana na tusipoangalia yanaweza kuyapoteza kabisa kwenye Ramani Mapenzi ya kunya pamoja.

Nini tatizo?Nini kifanyike?Tuokoe Mapenzi ya kunya pamoja?
Dah
 
Ndio maana corona na vita ukraine kuisha ni ndoto hii ni laana mchana kweupe
 
Back
Top Bottom