Mapenzi ya facebook

Mapenzi ya facebook

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Labda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu) kwa wall yake (hasa wadada). Kwani mapenzi yenu wawili ni lazima uyatangaze kila siku? alafu unapotoa vitisho kwa wenzako hujui kwamba anaepaswa ajichunge ni huyo mtu wako?
Na wakaka wengine nao kutwa kucha kushoboka, yupo mmoja amekamata mdada huko Uganda chuo flani (wote watanzania) ni kiwembe haatari lakini kila siku ni kuposti kuhusu mdada, hajui kwamba mpenzi wake huyo mpya ni used car from japan tena inasoma mileage 500,000 n so watu wanamchora tu........
Me ukweli mpunguzage jaman khaaa hadi mnaboa.

Kama nimekukwaza nisamehe.
 
sasa wewe ukishaingia kwenye mtandao ya kijamii kubali yote
 
Wanamna hiyo hawachelewi kulia!

Labda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu) kwa wall yake (hasa wadada). Kwani mapenzi yenu wawili ni lazima uyatangaze kila siku? alafu unapotoa vitisho kwa wenzako hujui kwamba anaepaswa ajichunge ni huyo mtu wako?
Na wakaka wengine nao kutwa kucha kushoboka, yupo mmoja amekamata mdada huko Uganda chuo flani (wote watanzania) ni kiwembe haatari lakini kila siku ni kuposti kuhusu mdada, hajui kwamba mpenzi wake huyo mpya ni used car from japan tena inasoma mileage 500,000 n so watu wanamchora tu........
Me ukweli mpunguzage jaman khaaa hadi mnaboa.

Kama nimekukwaza nisamehe.
 
wakikua wataacha!
mambo vipi loya Ruttashobolwa, ulirudi lini kutoka ntwara? korosho wapiiii?
 
Last edited by a moderator:
Labda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu) kwa wall yake (hasa wadada). Kwani mapenzi yenu wawili ni lazima uyatangaze kila siku? alafu unapotoa vitisho kwa wenzako hujui kwamba anaepaswa ajichunge ni huyo mtu wako?
Na wakaka wengine nao kutwa kucha kushoboka, yupo mmoja amekamata mdada huko Uganda chuo flani (wote watanzania) ni kiwembe haatari lakini kila siku ni kuposti kuhusu mdada, hajui kwamba mpenzi wake huyo mpya ni used car from japan tena inasoma mileage 500,000 n so watu wanamchora tu........
Me ukweli mpunguzage jaman khaaa hadi mnaboa.

Kama nimekukwaza nisamehe.

mmmh.....kweli hayo?.........au wamwonea wivu mwenzio?........hiyo mileage ya mwenzako ulivyoitaja mbona kama chuki binafsi vile.......:confused2:
 
Labda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu) kwa wall yake (hasa wadada). Kwani mapenzi yenu wawili ni lazima uyatangaze kila siku? alafu unapotoa vitisho kwa wenzako hujui kwamba anaepaswa ajichunge ni huyo mtu wako?
Na wakaka wengine nao kutwa kucha kushoboka, yupo mmoja amekamata mdada huko Uganda chuo flani (wote watanzania) ni kiwembe haatari lakini kila siku ni kuposti kuhusu mdada, hajui kwamba mpenzi wake huyo mpya ni used car from japan tena inasoma mileage 500,000 n so watu wanamchora tu........
Me ukweli mpunguzage jaman khaaa hadi mnaboa.

Kama nimekukwaza nisamehe.
Sipo Facebook .too much drama
 
ngoja na mm nikuwall kiJF kuonyesha nakujari baby
 
face book nliacha longtime..kisa cha kutongozwa na 90's n'nini..
woi
 
Sipo Facebook .too much drama

Hata mimi kiukweli-kweli sipo.

Nipo tu kama NN na wakati mwingine huwa siingii kwa miezi hata mitatu na zaidi.

I'm just too private a person to put my personal business and pics in there.
 
Baadhi ya wadada wa
facebook wanachoniudhi, wanaweka picha za warembo wengine, unamtongoza
unamtumia tiketi ya ndege aje,ukienda airport kumpokea unakuta hafanani
kabisa na wa kwenye zile picha zake.

hahaaa, dah watu mnagaramia! hadi ticket za ndege bado hajapelekwa xpensive hotel, shoping n.k
 
You dont have to put your pictured in there! And you dont have to put personal info in there.

im so on fb, i have met my kindergatten mate there. I dont accept people i dont know (i have like 1000+ pending requests), and i dont use fb as my gps (people dont believe they can eat out or go swimming without putting it up all on fb!). Ni ushamba tu!

We chat and talk with friends sometimes we will share fotos on inbox. Ukitaka kuwa private on fb you need yo know the limit. Unanikumbsha kaka mmoja nilisafiri nae just a 4 hours journey. By the time we land, i knwe all about his childhood, how.he met his scary wife, how he is being abused by the wife, how are his kids, relation with his biological father and mother. When we landed i was like mpphhheeew! How do you spill out your guts on a total stranger?
Hata mimi kiukweli-kweli sipo.

Nipo tu kama NN na wakati mwingine huwa siingii kwa miezi hata mitatu na zaidi.

I'm just too private a person to put my personal business and pics in there.
 
New liar in the block! Unamtumia ticket mtu usiemjua, air ticket? You surely a facebook kiddo!
Baadhi ya wadada wa facebook wanachoniudhi, wanaweka picha za warembo wengine, unamtongoza unamtumia tiketi ya ndege aje,ukienda airport kumpokea unakuta hafanani kabisa na wa kwenye zile picha zake.
 
Na ulivyo drama queen! HHaha, better stay away from fb. Rutherford's mom must be really praying for you, kha! Tatizo fb watu wanakuwa wanakujua kweli, so utazodolewa!
Sipo Facebook .too much drama
 
Kutongozwa inachangia pia how you put yourself up. Kama unaandika status 'broken hearted' sijui nini daily watakuja kukuconsole tu! Kama unaweka mapicha manyonyo wazi aaah, expect trafic ya hatari.

Ni kama jf tu, ukijiweka kuwa hautongozeki kiviile, ofcoz wachache ambao ni too confident watakuja ila kistaarabu!
(sorry, no offence meant. Sijasema ndo ulivyo)

Back
Top Bottom