Labda mie ni mshamba wa mapenzi basi mnisaidie wapenzi, lakin ki ukweli mapenzi ya facebook yananishangaza jaman......mtu ana mtu wake ila daily ni kutoa vitisho na kumtangaza huyo mtu(mchuchu) kwa wall yake (hasa wadada). Kwani mapenzi yenu wawili ni lazima uyatangaze kila siku? alafu unapotoa vitisho kwa wenzako hujui kwamba anaepaswa ajichunge ni huyo mtu wako?
Na wakaka wengine nao kutwa kucha kushoboka, yupo mmoja amekamata mdada huko Uganda chuo flani (wote watanzania) ni kiwembe haatari lakini kila siku ni kuposti kuhusu mdada, hajui kwamba mpenzi wake huyo mpya ni used car from japan tena inasoma mileage 500,000 n so watu wanamchora tu........
Me ukweli mpunguzage jaman khaaa hadi mnaboa.
Kama nimekukwaza nisamehe.