Grey256
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,211
- 2,524
Jamaa ana elimu ya makinikia kweli..Ameuaje elimu yenu, unamaana gani, yani watu wa 3 au 4 kufaulu na matokeo kuwekwa sokoni ndio elimu ilikuwa bora.
Jamaa ana elimu ya makinikia kweli..Ameuaje elimu yenu, unamaana gani, yani watu wa 3 au 4 kufaulu na matokeo kuwekwa sokoni ndio elimu ilikuwa bora.
Kwahiyo mlitaka waendelee kusoma wachache ili wajinga wasipungue?.Mkuu 666 chata hapo ktk wilaya nzima mnafaulu wa3 ama 4 tu! Hapo tupo sote. Wilayani kwetu majibu ya Mtihani wa la 7 yalikuwa yanabandikwa BOMANI na SOKO KUU tu!
Tumtafute alieua elimu yetu Mkuu!
Hata me kanishangaza! yani watanzania wabinafsi ndomana na viongozi wapo hivyo wanataka kushiba wao tu.Ameuaje elimu yenu, unamaana gani, yani watu wa 3 au 4 kufaulu na matokeo kuwekwa sokoni ndio elimu ilikuwa bora.
True mkuu, hata me nimeolea hivyo. Ngoja tujiongeze.Ktk habari kama hizi nukta unaweka mwenyewe Msomaji!
Kwani kupanda kwa ufaulu kunamanisha elimu imekufa??Mkuu 666 chata hapo ktk wilaya nzima mnafaulu wa3 ama 4 tu! Hapo tupo sote. Wilayani kwetu majibu ya Mtihani wa la 7 yalikuwa yanabandikwa BOMANI na SOKO KUU tu!
Tumtafute alieua elimu yetu Mkuu!
Nimeshangaa sana mkuu, yani wilaya nzima wafaulu wanne halafu mtu anajigamba walikua na akili?Daaaah!!Hata me kanishangaza! yani watanzania wabinafsi ndomana na viongozi wapo hivyo wanataka kushiba wao tu.
Ni ubinafsi tu hakuna lingine....Nimeshangaa sana mkuu, yani wilaya nzima wafaulu wanne halafu mtu anajigamba walikua na akili?Daaaah!!
I WISH I COULD BE BORNED ENZI ZA MWALIMU.
How comes unaishi na dem miaka minne na huoneshi madhara? Au ulikuwa unakojoa upepo? Ona sasa mwenzako kamchukua, 'ndani ya mwezi' keshamjaza mimba...tukawa wapenzi official, tukaja kua tunaishi pamoja tuko wote sanaa na kwa miaka hio minne ya chuo nlikua najiona sina tofauti na wakina obama au labda jay z wao wananizid fame tu na hela ila ulimwengu wa maraha na visu hawa.
nilipofika hapo sijaendelea , kumbe ulipiga basi .. sikukuu njema aiseehingo mtoto katulia tu anajinyonga na nikimshika pengime sikutani na usingizi, siku hii ndio nlijua kupanga ni kuchagua, nkapitishia kidole down there
Ndomaana huwa nasemaga kuwa, ukitaka kusoma soma sana mpaka ma PHD, au kama unataka kawaida wewe ishia form 4 kisha piga ka kozi ka kishkaji kisha jichangaje kwenye life. Mtu una LLB kisha unadai umekata ringi? Amakweli walisema kusoma sana ni woga wa maisha.Back in days uko ndo tumeanza first year LL.B....
...................... then nimekata ringi hatari, kazi sina yaan nkajua kabisaa hakuna Mungu nikawa hadi Atheist, hahahaahahah
vipi lakini alipata kazi ?Ndomaana huwa nasemaga kuwa, ukitaka kusoma soma sana mpaka ma PHD, au kama unataka kawaida wewe ishia form 4 kisha piga ka kozi ka kishkaji kisha jichangaje kwenye life. Mtu una LLB kisha unadai umekata ringi? Amakweli walisema kusoma sana ni woga wa maisha.
Ukiangali kwenye ajira wamejaa watu walomaliza form 4 na vikozi kwenye vichuo uchwara lakini magraduate wapo mtaani tu wengine wameishia kuuza duka. kuna demu alikuja kuomba kazi za ndani kwa mdingi wangu, nilikuja jua kuwa demu ni graduate wa UDOm kwenye mambo ya Sijui mnaita uhusiano wa kimataifa, na mwenzake wa kozi kama hiyo anauza mitumba mtaani.