Mapenzi ya Chuo bwana, ila sometimes i miss her

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,822
Back in days uko ndo tumeanza first year LL.B moja, huku na huku nakutana na msichna mmoja mzuri dunia nzima, yaani kila jicho lilikua linamtazama mule class wote ndo hatujuani juani iv, na mie nlikua na look moja amaizing yaan ukiniona unaweza kuzani nimetokea rorya au tarime, sasa siku chache zikapita tukapangana ma group discuss na tarime boy nlivyo na mazali nikajikuta group moja na huyu demu mkali dunia mzima.

Sasa huyu binti hakuwai ata kupoteza sekunde yake kunitazama sanaa, na kwenye discuss zetu sikupendaga kua mzungumzaji sanaa ila nikiongea kitu ni point hio na lazima waiandike.

Sasa mie binafsi hata sikuwai kuwaza kwamba kuna siku et na mie ntakuja kua na chuma kama kile et kinaniita baby kabisaa, thubutu, tarime boy malaika wa bwana alikua bado hajanishukia.

Sasa siku ya siku niko geto nikaskia hodi mlangon kwangu, nikatoka kutizama na actually nlikua nimevaa kikawaida tu yaani kisimiyu boy, na nlikua natoa kitu(kupika) basi nkaenda kufungua mlango, asee nusu nizimie nkakutana na tabasamu matata kucheki daah ni yule kisu wa dunia nzima,

Asee nilipatwa na kigugumuzi kama crazy gk, akasema ata haingii ndani ila amekuja kuchukua material flan iv mwalim alitoa kama notisi na mie kwa group. Letu ndio nlikua nimetoa copy, basi nikamwambia aingie kwanza ndo nampa maana kikwetu ni laana hio mgeni kuishia mlangon tu.

Ndo demu kuingia, miksa kukuta bonge la subwoofa linatwanga tu ma nyimbo, khaaa ndo akaanza kushangaa yuko like iv kumbe na wew huwa ni mjanja hiv yaan mie najuaga wew ni chata ya either simiyu au kariua, nkajichekesha pale ila kumbe binti kani notice mie ni mtu wa ku keep profile low.

Siku zikapita, hakikutokea kitu cha maana ata, ila siku moja tumerudishiwa karatasi za test mzee nikawa nimenyoosha vizuri tu kuliko group letu lile, sasa uyu kisu dunia nzima siku ya siku kaja geto anataka nimuelekeze vitu flani, siku ya kwanza kaja nikamuelekeza demu kaelewa vizuri na mie nlikua nafundishia sifa yaan nikiongea ni kama TB Joshua flan iv, upako wa kimasomo.kwelii kweli mzee

Siku ya pili tena akaja, na mara zote izi mie nlikua namuogopa ata kumshika tu mkono sanaa maana naona anaweza kuniona na leta njaa wakat hata hatuendan mie ngudu boy, sasa siku hii bhana ikawa kama utan tu na hata sijui ilikuaje mpaka nikawa kama nimevuta bangi na sikumuogopa kabisa uyu binti, baada ya kufundishana nikamwambia tuangaliane atakaecheka atamlipa mwenzie buku

Daah demu akacheka sana mwanzo, mwisho akakubali tukaangaliana sasa, nikakaza na hii ni moja ya trick zangu za kiyunani na inafanya kazi haswaa, basi kadri tunavyoangaliana ndivyo mie najileta karibu zaidi na hapa. Mie ndo natawala mchezo kiujanja ujanja nikacame close hatari demu katulia tu nkampelekea mdomo dem aka respond, tobaa hakuna siku ambayo malaika walitembelea live live kama hii,

Sasa wakat napiga deep kisa nikatest kunyonya hadi shingo mtoto katulia tu anajinyonga na nikimshika pengime sikutani na usingizi, siku hii ndio nlijua kupanga ni kuchagua, nkapitishia kidole down there na hii ni kanuni namba tatu ya kiyunani na ukifikia hatua hii mzigo umekula, basi nikala nikajiwekea historia mpyaa binafsi.

Nachokumbuka tu siku hio sikupata na usingiz kabisaa nlikesha kwa furaha na ni mara ya pili kukesha kwa furaha ya kwanza ikiwa ile siku nliyofaulu la saba maana nlijiwekea rekodi ambayo ni zaid ya ballon dior na hasa enzi zile la saba wilaya nzima waliokua wanafaulu hawazidi wanne, na mie mtaa mzima nlifaulu peke angu nikawa naogopeka nna mibrain mingi mtaan sitongozagi enzi izo bhana hahahahaah elimu siku hizi imekufa.

tukawa wapenzi official, tukaja kua tunaishi pamoja tuko wote sanaa na kwa miaka hio minne ya chuo nlikua najiona sina tofauti na wakina obama au labda jay z wao wananizid fame tu na hela ila ulimwengu wa maraha na visu hawa.

ila sasa mwisho wa siku masomo yakaisha, na hapo ndipo mwisho wetu ulipoanza kufikia, demu akawa busy sanaa karudi kwao mikoan huko akapata kazi kabla yangu, siku miezi ikapita but ni mtu ambae nlikua sichoki kumwazia na kumpangia mengi juu yetu na nlikua najua yeye ndo ntakaemuoa, sasa zikaja tetesi toka kwa mashoga zake wanasema ana mimba, waungwana hakuna habari iliyowai kunistua kama hii, nliumia sana, nikaja kuchunguza kweli bhana, nkapigia simu nkamwambia mama izi siku zote kumbe ulikua ulikua unani actia? binti akakkubali na akasema tu sorry basi nkamwambia mama mpaka mimba kweli si bora ingekua kawaida tu mie ningesamehe tu.

Daah nliumia na kua disapointed sanaaa sanaa, basi ndio ivyo bhana mwisho nikawa sipendi tena yaan mabinti wakitaka mchezo nawawashia luninga mara black mara white vp, nshajilia sana na kukimbia

Sijiisigi chochote na hua staki ushauri wa kimapenzi najiona binafsi nna degree mbili za mapenzi na mahusiano, nimeyaona mengi sasa.

Kwa wadogo zangu mlioko chuoni tafadhalin kueni makini sana hamna ulazima wa kuingia wazima wazimakwa hao watu wenu mliokutana tu ukubwan ni kua waangalifu tu, ila uenda bahati ikawa yenu who knows.

Mbali na yote sometimes hua namkumbuka sanaa, ni muda sasa umepita, na hapo nimefupisha tu maana kuna mengine kama kuchekwa na dunia nzima aloo stakigi hata kukumbuka na back then nimekata ringi hatari, kazi sina yaan nkajua kabisaa hakuna Mungu nikawa hadi Atheist, hahahaahahah
 
Mzee, mapenzi ni something else, ni zaidi ya hivi vitu vya kupiga mashine, yaani mnakua na bond moja hivi nzuri sanaa, sasa ikikatika inakua sawa na zile habari za Astral Projection, ni hatari tupu mpaka kuja ku recover.
Umenisemelea moyo mkuu,
Kupiga goolgle ni zaidi ya internet,
Nimeongea kitectec sana
 
:D:D:D:D:D:D:D:D:D dah bro wana group wangu wamekufa mbavu kwani hili tukio limemtokea mwanangu wa damu kabisa dah akajiona amepata demu kumbe demu anahudumiwa na pedeshee na kututoa out sana mashemej zake na jamaa yetu alijua ni pay za demu siku wanamaliza chuo demu akafuta na namba za mdau inauma sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom