Mapenzi utata, naomba umshauri huyu dada

Usiombe tena ushauri humu jf kwa maana hujui hata la kuombea ushauri. Ati, tukushauri uachane na mumeo uende kuolewa na mchepuko!! Jamani, hivi dunia hii imejaa nini? Hawa nao ni watu?
Hivi huoni hata aibu kusema kuwa unataka kuisaliti ndoa yako tena yenye matunda ya mtoto, ukakimbilie kwa mpuuzi aliye kusahau miaka mpaka ukajiona unazeekea nyumbani kwa wazazi.
Mungu akakuletea aliye wako, akakuchukua, akakuwowa, leo ukasimame mlangoni kwake umwambie naondoka naenda kuolewa na mchepuko wangu. Hata kama hana mguu wa kuku, nadhani mwiko unaosongea ugali unakutosha weye.
Yaani umeniudhiiiii mpaka natetemeka. Bahati yako sikujui, ningekufikicha masikio mpaka akili zikurudie.
Tulia kwa mumeo, hilo limchepuko linakutaka papuchi tu si kingine. Limekuona mserembuo tu, kuoshea rungu lake bure bila gharama kwani sidhani hata umewahi kuogea hapo kwake bali unaendaga kuogea kwa mumeo baada ya kuloweshwa. Pu.mbaavuuuu.
 
Kazi kweli kweli, sasa yule jamaa unayetaka kumfuata hujui naye anakupima tu mara utakapo pewa talaka naye hatakutaka sasa utakwenda wapi?
 
Hivi ndoa ni yakuchezea kiasi hicho?Kama mlikuwa mnapendana kwa dhati mngelitafutana kabla sasa ngoja udanganywe na wewe ukubali.
 
Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe bali mwanamke mwerevu huijenga nyumba yake.

Hakika wewe ni sawa na fisi aliyefia njia panda baada ya kutamani pande zote mbili za mwaliko wa harusi.
 
wewe anza kutangatanga uje ukose mwana na maji ya moto!!!!
hasara ya kupoteza mawasiliano ndio hiyo, amekuta mzigo umemilikiwa.

ene wei ufuate moyo wako unachokuelekeza manake hata ukifaidi ama ukipata hasara ni moyo wako ndio uta feel the test.

Ee Mungu kizazi hiki kinaangamia kwa kukosa maarifa........

. Wanawake wengne yaan akili zipo kwenye hedhi kadri unavyomwaga dam ya hedhi ndvyo akili znamwagika.

Hata mama yako mzazi akil yke ipo kwny hedh???????!!!!!!! Hapo ulipofka ni matunda ya mwanamke,,,,,, stupid man!!!!!!
 
Hata mama yako mzazi akil yke ipo kwny hedh???????!!!!!!! Hapo ulipofka ni matunda ya mwanamke,,,,,, stupid man!!!!!!

acha kujiropokea mtoto hayawan ww.... Ww unatoa povu nmekwambia ww au mama yako ?
Au na ww mama yako alikuwa anatangatanga na ndoa ndio maana imekuuma tunavyomkashiifu huyu malaya kama mamako?
Mamaaako.
 
Nakumbuka maneno ya lara 1marriage is a highly an hypocrisy institution
The girl was married because wanted to get married she forgot wanting to get married isn't the reason to get married
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom