Mapenzi utata, naomba umshauri huyu dada

Mapenzi utata, naomba umshauri huyu dada

unashangaa nn sasa?!
Ww ndio nakuzungumzia

mimi sio mwenye tatizo.. tatizo nimeletewa nami nimelileta kwa wadau mezani mkuu... First Born ni mwanaume.. soma vizuri heading.
 
Last edited by a moderator:
My god hivi dada hebu jiweke wewe kama mumeo halaf ukafanyiwe unachotaka kusikia utajifikiriaje halaf wewe dada kwa mumeo si wapata unachotaka mapenz ya dhat pia si anakupatia hiv umezaa nae tayar bado hujajifunza kumoenda na kwenda nae kwenye biti mambo mengine n.kujitakia ukienda kwa huyo kwanza ujichongee na jeneza kabisa.

Hii ya kupoteza mawasiliano kwa wachumba naona haijakaa sawa yaani mwanaume apoteze mawasiliano na mwanamke naye apoteze mawasiliano,hii kali,huyu mdada anatafuta laana na shida hapa duniani.Akae akijua huyo mwanaume anayetaka kuolewa naye hampendi ila ye mwanamke ndo anampenda.Heri uishi na mtu anayekupenda kuliko unayempenda.
 
Kuuliza ni kuzuri lakini kuna maswali mengine mtu akikuuliza kama unaye karibu itabidi kwanza umtikise kichwa ili kujua kweli kilichomo kimo au kuna nyuki wanazidi kulundika masega tu ndani ya kichwa......!
 
We komaaaa!usithubutu kumuacha huyo mume wako wandoa tena sahau huyo jamaa mpotezee mkono wa mungu juu yako
 
haya majitu nayo yanayokujaga na kuanza kung'ang'ania wapenz wa watu ni mapumbavu kwer hayana hata akili ya kutafuta wao.
jibu jepes mwambie ajuache asije kukuharibia ndoa yako.
 
Kuuliza ni kuzuri lakini kuna maswali mengine mtu akikuuliza kama unaye karibu itabidi kwanza umtikise kichwa ili kujua kweli kilichomo kimo au kuna nyuki wanazidi kulundika masega tu ndani ya kichwa......!

hahaaa Jagarld punguza hasira, ila kweli wakati mwingine akili ya mtu inakuwa kama imepaa vile
 
Nipo kwenye ndoa kwa miaka 3 sasa na nimefanikiwa kuzaa mtoto mmoja.

Lakini kabla sijaolewa nilikuwa na mchumba aliyehitaji kunioa ila tulipotezaga mawasiliano miaka mingi sana.

Tatizo linalosababisha niombe ushauri ni huyu mchumba wangu wa zamani maana kwa sasa amerudi, kusema kweli bado nampenda sana na yeye pia amesema ananipenda anataka niombe talaka kwa huyu mume wangu wa sasa ili tuweze kuoana.

Huyu mume wangu wa sasa nilikubali tu kuolewa naye kwakuwa anajiweza na nilichoka kukaa nyumbani, ila yeye anaonesha ananipenda kweli.

Naombeni ushauri wenu niendelee tu na huyu mme japo simpendi au niende kwa mtu ninayempenda

"Utafiti unaonyesha kuwa ukiachika kwa talaka na kuolewa na mwanaume/mwanamke mwingine kwa mara ya pili, uwezekano wa hiyo ndoa kuvunjika ni 68%. Ukiolewa kwa mara ya tatu baada ya talaka ya pili uwezekano ni 79% wa ndoa hiyo kuvunjika"

Kwa kukusaidia tu achana na roho ya kishetani uliyonayo. ningekuwepo jirani hapo ningekukata vibao.....Unaonyesha ni kwa kiasi gani ulivyofuska na ambayo hata humpendi huyo mwanao uliyenaye.
 
Ee mwenyez Mungu kinusuru kizaz hik cha nyoka
 
Mwalimu wa baadhi ya wanawake ni kipofu na alishakufa. Siku si nyingi utamfuata huko aliko
 
Hiari yashinda utumwa na kipenda roho hula nyama mbichi.... maisha mafupi na furaha yako ipo mikononi mwako wala hakuna mwingine anaeweza kamilisha furaha yako, so huna haja ya kuulazimisha moyo wako...... Fanya kile moyo wako unapenda... lakini pia fikiri kwa jicho la tatu kabla ya Kufanya maamuzi
 
Naona unajipeleka kwenyr moto......

Kila mchuma janga hula na wa kwao
 
Endelea nae ulienae hivi sasa, usije mkosesha mtoto wenu malezi ya wazazi wawili. Yaliyopita yamepita sahau, unaweza sema unampenda wa zamani na kuhatarisha ndoa yako kwa yule unaempenda na hauzijui tabia zake kwa sasa kwa kuwa mlikuwa mbali kwa muda mrefu, huwezi jua pengine wa zamani amebadilika kitabia.

Tafakari kabla ya kufanya uamuzi wa pupa ambao utakuharibia dira ya maisha yako
 
Nipo kwenye ndoa kwa miaka 3 sasa na nimefanikiwa kuzaa mtoto mmoja.

Lakini kabla sijaolewa nilikuwa na mchumba aliyehitaji kunioa ila tulipotezaga mawasiliano miaka mingi sana.

Tatizo linalosababisha niombe ushauri ni huyu mchumba wangu wa zamani maana kwa sasa amerudi, kusema kweli bado nampenda sana na yeye pia amesema ananipenda anataka niombe talaka kwa huyu mume wangu wa sasa ili tuweze kuoana.

Huyu mume wangu wa sasa nilikubali tu kuolewa naye kwakuwa anajiweza na nilichoka kukaa nyumbani, ila yeye anaonesha ananipenda kweli.

Naombeni ushauri wenu niendelee tu na huyu mme japo simpendi au niende kwa mtu ninayempenda

Ndg unajielewa kweli,,,! Umeshalala.nahuyo jamaa unaedhani unampenda jibu hayo kwanza then ntarudi
 
Aise watu mnachukulia ndoa kirahisi sana,
Iweje aliolewa na asiempenda?
Na huyo anaejifanya wanapenda trust me hawatadumu,kama ataweza kuachana na wa kwanza kisa kwenda kwa wa pili basi na wa pili atakuwa na wasiwasi wa kufanyia hivyovhivyo.
 
Back
Top Bottom