Mapenzi utata, naomba umshauri huyu dada

Mapenzi utata, naomba umshauri huyu dada

kheeee eti aliolewa coz alichoka kukaa nyumbani??? kwaio hana kazi??? daaaaa mpe pole tu ila hafanyi poa kabisa
 
Kuna mwanamziki anaitwa 20% tafuta nyimbo zake usikilize .....
acha tamaa za kijinga mdada , unachoomba ushauri ni ujinga
 
Mkuu mazungumzo haya kama alivyoandika muanzisha hufanyika baada ya njemba kupewa papuchi akanogewa na mrembo naye kunogewa na gegedo.

Kabla hujaanza kutukanwa humu naomba niulize je huyo mlopotezana mawasiliano ameshakulala ukiwa na Huyo wa Sasa?
 
nenda kwa unaye mpenda tuone kama mtadumu.!alafu ucsahau kuleta mrejesho hapa mkibwagana
 
Kubafu.unataka kufanya remix ya ndoa yako eeemh? huko kilikupeleka nn ? Hivi mtu na kichwa chko umaweza kuuliza au kuomba msaada kwa mambo yakipimbi haya some tym wanawake mnakera sana asee@!!! Muombe mumeo ushauri kuhusu hilo then apate kerbu kama 4 hivi asee.Nfyuu
 
una mwamini vipi huyo mpenzi wako wa zamani? Tupa kule.ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
Nipo kwenye ndoa kwa miaka 3 sasa na nimefanikiwa kuzaa mtoto mmoja. Lakini kabla sijaolewa nilikuwa na mchumba aliyehitaji kunioa ila tulipotezaga mawasiliano miaka mingi sana. Tatizo linalosababisha niombe ushauri ni huyu mchumba wangu wa zamani maana kwa sasa amerudi, kusema kweli bado nampenda sana na yeye pia amesema ananipenda anataka niombe talaka kwa huyu mume wangu wa sasa ili tuweze kuoana. Huyu mume wangu wa sasa nilikubali tu kuolewa naye kwakuwa anajiweza na nilichoka kukaa nyumbani, ila yeye anaonesha ananipenda kweli. Naombeni ushauri wenu niendelee tu na huyu mme japo simpendi au niende kwa mtu ninayempenda

hapana baki ulishaaribu tangu mwanzo uwezi jua kwann mlipotezana
 
wanawake mwl wao ni kipofu..nimeamini. we omba talaka sie tunasubiri part 2 JAMAN NISAIDIEN HUYU MME WNGU WA SASA ANANINYANYASA
 
Back
Top Bottom