jashmoe32
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 1,098
- 437
Naomba usipotezee watu muda,wewe nahisi hujui kupenda na unatamani kwa raha ya ngono tu,unajua maana ya ndoa?kama kweli ulikua unampenda huyo mzinzi mwenzako then ungemsubiri bila kuchoka ila inaonekana haukua na subira na pili ni msichana wa show off.Ulikua unaogopa umri unaenda na bado hujapata mwanaume na wenzako watakucheka.
Wasichana wangap wameolewa mpaka sasa?heshimu ndoa mana ni watu wachache sana hupata ndoa dadangu.Iheshimu sana ila kama una tamaa,omba talaka na umfate mzinzi mwenzako ambae mlikua mnapendana kwa styl za kitandan tu na hizo styl zikiisha na wewe atakupa talaka.Kwanza inaonekana huna heshima yan uko katika ndoa na unachat na X wako mambo ya ajabu kama hayo?assume mmeo nae angekua anachat na X wake,ungejskiaje?
Ridhika na upatacho dada