Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Unadunda uchawi hauvuki bahari halafu myuesiei huwa haamini uchawiHivi uchawi yuesiei unadunda eeh!!
Unadunda uchawi hauvuki bahari halafu myuesiei huwa haamini uchawiHivi uchawi yuesiei unadunda eeh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiasi waliwe haswaaa
Hawatupigi bwana tunatumaga wenyeweWenzio wanazo wanatupiga wanapotukula eti.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hizi sura za baba zetu akianza ubaguzi hata kwa msaada wa heinken hatukuli
Usitafute visingizio vya kutunyima watoto wa wanaume wenzio!!!Ingependeza kama niliowala wangejitaja wenyewe kuliko kuanza kuwataja ambao sijawala!
As if nakula watu!!
Pitiful.
Anatafuta huruma tu.Hahahaaa!anajiwahiii
Nakuona tuu ila inabidi mimi nileft huku..Hahahaaa!! Mkwe mimi sijakuona kwakweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa humu kuna myuesiei zaidi yake
Ila myuesiei hamumuuzii mnajipeleka tu!!!Basi auntie kweli umekutana nayo sisi tumeshajizoelea ni makahaba na kujiuza mwanzo mwisho ndio tunavyoambiwa
Shem kwema lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mfyuuuuuu zako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Poleee.Auntie wako kama wanne hivi washanitukana humu bila jata sababu, unastukia tu mtu kakuquote anakuporomoshea matusi sijui ndio stress!! Akiwemo na yule wa mkoani tulosema mtusaidie mumchukue wa dar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] myuesiei tunamoa roho inapendaIla myuesiei hamumuuzii mnajipeleka tu!!!
Nataka na sakayo ajue hivi tuu...wewe unambagua vipi na shunieMkwe takulaani ujue!!
Onja tu hutajutaaYaani kama sitaki alafu nataka hata sielewi.
Usitafute visingizio vya kutunyima watoto wa wanaume wenzio!!!