Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni nini jamani?

Mnakomenti kwa mashauzii kumbe wabovuuu, yaani mimi niwe mbovu alafu eti kuna mtu anaumia wakati hata hanijui. Raha sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wakati wao ndo wako hivyo sasa. Tuendelee kujificha kwenye keyboard tuu
 
Kichaa changu karibu kinanipanda....

Nafikiria kuanzisha uzi wenye orodha ya majina ya niliowala.

Orodha hiyo itasheheni taarifa nyeti na za kina na ushahidi usiopingika.

Ngoja waendelee na chokochoko zao. Tutashindana kuonyeshana nani ni kichaa zaidi.

Hapatatosha humu.
Mkuu..

Hahaa[emoji3][emoji3][emoji3] utaanzisha vita ya 3 ya dunia..

Mara paaaaap ulikula mke wa mtuu..! I hope wapo kwenye list pia
 
Back
Top Bottom