Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,007
- 306
Mhhh
Kuna ukweli hapa hasa kwa wanaume kama huna pesa subiri malaika.ovaMapenzi ni pesa tu sikuhizi, kinyume na hapo unafiki ndio umekithiri jiandae kulizwa tu.
Jitafutie vyanzo kadhaa vya kipato kisha utaona mapenzi yanavyokufuata kwa kasi. The shit is so stupid aisee.
Mapenzi ni kama moto ukikosa vitu vya kuchochea tu lazima upunguze makaliBasi utakuwa na ka experience ka kutosha, vipi kuhusu kumuumiza mtu ulishawahi? Najiulizaga sana hili swali kwanini hakunaga usawa katika mapenz? Unaweza mpenda mtu head over heels ila at time amekuzoea anapunguza upendo. Sijui what happens
Kwanini hamuaminiani lakini?Tatizo hataniamini
Kaone vile!!!Abeeeeee
Ndio hata nyumbani ukaona taabu kuja?Auntie
Nakuhamu tuu jamani
Hahaaaa!! Nilikua nasoma kwanza ndio nikuite, hata sijafika page ya tatu ukafutwa. hata sijui kwanini.Haaaaa!mbona hukunishtuaa sasa?!
Wavulana wa jf wakue.Heee!ulikua unasemaje shostii?!!