Na huyo mlevi aliishia wapi! Embu maliziaKuna dada mmoja aliolewa na childhood sweetheart. Walianza mapenzi wakiwa form one. Baada ya kumaliza form four bidada alikwenda teaching mwanaume alikwenda chuo cha polisi Moshi.
Walibahatika kupata watoto wanne, mwanaume alipata uhamisho kwenda Oysters Bay polisi kutoka mkoani. Wamefilka Dar walipata polisi quarters. Dada alipata kituo cha kazi mjini.
Mkaka alianza kuwa mlevi, haijali familia. Hela ya mama yote iliishia kutunza familia. Mwalimu alikuwa anapanda mabasi kwenda kazini. Kuna baba mmoja aliishi sana Ulaya ndiyo amerudi Tanzania na Mercedes yake akawa anampita kituoni kila siku. Kuna siku yule baba aliamua kumpa lift.
Baada ya hapo kilichofuatia ni mwanaume kumuoa yule dada na alichukua majukumu ya kulea watoto wote. Mr Mercedes alikuwa na apartments anapangisha kwa USā¬
Wengi huzani zinapendwa pesa mwanaume anaweza kuwa na pesa lakini hana mapenziTatizo kuu ni kuwa tunawakosa watu makini kwasababu ya ufahamu wetu mdogo.
Nimesema kama ana uwezo lakini awe na uwezo au la atakupenda regardless of your past.
Yup nailed it mkuuWengi huzani zinapendwa pesa mwanaume anaweza kuwa na pesa lakini hana mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi alipasha kiporo nini?Kwa ss sihitaji kupendwa na single mama tena labda sijui aje na maajabu gani ya kunishawishi,unampenda mtu unawekeza muda wako kwake ukiamini mapito aliyopitia kwenye mahusiano amejifunza lkn wap....
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijaribu kumpinga ata kidogo anachio kisema kipoUwe na watoto wawili baba tofauti mwenzio hana alafu akupende na asomeshe wanao top schools,Funga upige sana sala labda utafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa,sema humtaki watu hawajawahi kupenda humu,!!!Mwanaume akikupenda hayo kwake ni madogo. Mama yake akiwa na roho ya kimasikini atakuona wewe mchawi.
"Usiwe mchoyo" wenye akili zao watakuelewa...Nina ongelea nafsi ya kike kwakua mimi ni wa kike. Kuna wanaume wanapenda wanawake weupe, weusi, warefu, wasomi, wanaojua ku challenge, wanaojua biashara, wenye msambwanda. Sasa itokee umekutana na mkaka aliyekuona wewe ndiye a dream woman in his life. Akifungua mlango tu anatoka kazini roho yake iko burudani
Hata asikie ulikuwa changu doa atadharau, hata uwe na watoto wawili baba tofauti ataamua kuwalea na Ada za shule atalipa. Kwakua atapenda kukufurahisha kama ana uwezo usishangae kusikia watoto wanakwenda kwenye top schools.
Ndugu na marafiki watadhani ulifanya limbwata kumbe masikini wala hayo huyajui. Watasema watachoka
Ukipata bahati hiyo shost kumbuka kwanza usafi. Usafi wa mwili wako na mazingira yanayokuzunguka.
Jaribu sana kutengeneza muda wenu nyinyi wawili tu.
Roho ya mwanaume iko tumboni. Msome vyakula anavyovipenda. Kama hijui kuvipika ingia you tube upate tuition gharama bundle.
Usiwe mchoyo.