Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,298
- 46,757
Ndoa sio utamu tu..Kuna koo huwezi kuoa mwanamke mwenye watoto wawili,utaonekana umelogwa.Kwani utamu unawagaia ndugu zako?
Wanaoweza kufanya hivyo na wafanye
Ndoa sio utamu tu..Kuna koo huwezi kuoa mwanamke mwenye watoto wawili,utaonekana umelogwa.Kwani utamu unawagaia ndugu zako?
Type hizo mara nyingi huwaga wana salitiwa na wanawake wao,nimeshuhudia sehemu nyingi.Nina ongelea nafsi ya kike kwakua mimi ni wa kike. Kuna wanaume wanapenda wanawake weupe, weusi, warefu, wasomi, wanaojua ku challenge, wanaojua biashara, wenye msambwanda. Sasa itokee umekutana na mkaka aliyekuona wewe ndiye a dream woman in his life. Akifungua mlango tu anatoka kazini roho yake iko burudani
Hata asikie ulikuwa changu doa atadharau, hata uwe na watoto wawili baba tofauti ataamua kuwalea na Ada za shule atalipa. Kwakua atapenda kukufurahisha kama ana uwezo usishangae kusikia watoto wanakwenda kwenye top schools.
Ndugu na marafiki watadhani ulifanya limbwata kumbe masikini wala hayo huyajui. Watasema watachoka
Ukipata bahati hiyo shost kumbuka kwanza usafi. Usafi wa mwili wako na mazingira yanayokuzunguka.
Jaribu sana kutengeneza muda wenu nyinyi wawili tu.
Roho ya mwanaume iko tumboni. Msome vyakula anavyovipenda. Kama hijui kuvipika ingia you tube upate tuition gharama bundle.
Usiwe mchoyo.
Ushasema ni baba sio kijana, kwa wazee kufanya icho kitendo ni kawaidaKuna dada mmoja aliolewa na childhood sweetheart. Walianza mapenzi wakiwa form one. Baada ya kumaliza form four bidada alikwenda teaching mwanaume alikwenda chuo cha polisi Moshi.
Walibahatika kupata watoto wanne, mwanaume alipata uhamisho kwenda Oysters Bay polisi kutoka mkoani. Wamefilka Dar walipata polisi quarters. Dada alipata kituo cha kazi mjini.
Mkaka alianza kuwa mlevi, haijali familia. Hela ya mama yote iliishia kutunza familia. Mwalimu alikuwa anapanda mabasi kwenda kazini. Kuna baba mmoja aliishi sana Ulaya ndiyo amerudi Tanzania na Mercedes yake akawa anampita kituoni kila siku. Kuna siku yule baba aliamua kumpa lift.
Baada ya hapo kilichofuatia ni mwanaume kumuoa yule dada na alichukua majukumu ya kulea watoto wote. Mr Mercedes alikuwa na apartments anapangisha kwa US€
Hata kama huna watoto wa nje, kibongo bongo mke na mme wakipendana tu mwanaume karogwaMwanaume akikupenda hayo kwake ni madogo. Mama yake akiwa na roho ya kimasikini atakuona wewe mchawi.
Uwe na watoto wawili baba tofauti mwenzio hana alafu akupende na asomeshe wanao top schools,Funga upige sana sala labda utafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi mkuu kati ya anayependa na anayependwa,,yupi anaona faraja wakiwa pamoja?Nina ongelea nafsi ya kike kwakua mimi ni wa kike. Kuna wanaume wanapenda wanawake weupe, weusi, warefu, wasomi, wanaojua ku challenge, wanaojua biashara, wenye msambwanda. Sasa itokee umekutana na mkaka aliyekuona wewe ndiye a dream woman in his life. Akifungua mlango tu anatoka kazini roho yake iko burudani
Hata asikie ulikuwa changu doa atadharau, hata uwe na watoto wawili baba tofauti ataamua kuwalea na Ada za shule atalipa. Kwakua atapenda kukufurahisha kama ana uwezo usishangae kusikia watoto wanakwenda kwenye top schools.
Ndugu na marafiki watadhani ulifanya limbwata kumbe masikini wala hayo huyajui. Watasema watachoka
Ukipata bahati hiyo shost kumbuka kwanza usafi. Usafi wa mwili wako na mazingira yanayokuzunguka.
Jaribu sana kutengeneza muda wenu nyinyi wawili tu.
Roho ya mwanaume iko tumboni. Msome vyakula anavyovipenda. Kama hijui kuvipika ingia you tube upate tuition gharama bundle.
Usiwe mchoyo.
Aachane na hayo sijui kupika sijui usafi...kwanza afunge na kuomba Mara 1 kwa week ukiacha siku za ibada,(ijumaa jmos au j2).. Kumuombea huyo M.me atakaye Rith pepo.Ndio mengine yafwateNina ongelea nafsi ya kike kwakua mimi ni wa kike. Kuna wanaume wanapenda wanawake weupe, weusi, warefu, wasomi, wanaojua ku challenge, wanaojua biashara, wenye msambwanda. Sasa itokee umekutana na mkaka aliyekuona wewe ndiye a dream woman in his life. Akifungua mlango tu anatoka kazini roho yake iko burudani
Hata asikie ulikuwa changu doa atadharau, hata uwe na watoto wawili baba tofauti ataamua kuwalea na Ada za shule atalipa. Kwakua atapenda kukufurahisha kama ana uwezo usishangae kusikia watoto wanakwenda kwenye top schools.
Ndugu na marafiki watadhani ulifanya limbwata kumbe masikini wala hayo huyajui. Watasema watachoka
Ukipata bahati hiyo shost kumbuka kwanza usafi. Usafi wa mwili wako na mazingira yanayokuzunguka.
Jaribu sana kutengeneza muda wenu nyinyi wawili tu.
Roho ya mwanaume iko tumboni. Msome vyakula anavyovipenda. Kama hijui kuvipika ingia you tube upate tuition gharama bundle.
Usiwe mchoyo.
Dream stories zinazotokea Mara 1 baaada ya miaka 50Kuna dada mmoja aliolewa na childhood sweetheart. Walianza mapenzi wakiwa form one. Baada ya kumaliza form four bidada alikwenda teaching mwanaume alikwenda chuo cha polisi Moshi.
Walibahatika kupata watoto wanne, mwanaume alipata uhamisho kwenda Oysters Bay polisi kutoka mkoani. Wamefilka Dar walipata polisi quarters. Dada alipata kituo cha kazi mjini.
Mkaka alianza kuwa mlevi, haijali familia. Hela ya mama yote iliishia kutunza familia. Mwalimu alikuwa anapanda mabasi kwenda kazini. Kuna baba mmoja aliishi sana Ulaya ndiyo amerudi Tanzania na Mercedes yake akawa anampita kituoni kila siku. Kuna siku yule baba aliamua kumpa lift.
Baada ya hapo kilichofuatia ni mwanaume kumuoa yule dada na alichukua majukumu ya kulea watoto wote. Mr Mercedes alikuwa na apartments anapangisha kwa US$
Haaaah hasa 28+Mambo ya namna hii utayasikia kwa wanawake tu.
Ngoja nikatafute Mikate mimi.
Kweli KBS emu tusubirie oktober 28 tumalize utataUnaongelea hapa bongo?
Ahaaa eti na watoto wa mwanaume tofauti? Hii ni ngumu kumeza![]()
Utamu? Only thing she has to offer...lolKwani utamu unawagaia ndugu zako?