Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,351
Nina ongelea nafsi ya kike kwakua mimi ni wa kike. Kuna wanaume wanapenda wanawake weupe, weusi, warefu, wasomi, wanaojua ku challenge, wanaojua biashara, wenye msambwanda. Sasa itokee umekutana na mkaka aliyekuona wewe ndiye a dream woman in his life. Akifungua mlango tu anatoka kazini roho yake iko burudani
Hata asikie ulikuwa changu doa atadharau, hata uwe na watoto wawili baba tofauti ataamua kuwalea na Ada za shule atalipa. Kwakua atapenda kukufurahisha kama ana uwezo usishangae kusikia watoto wanakwenda kwenye top schools.
Ndugu na marafiki watadhani ulifanya limbwata kumbe masikini wala hayo huyajui. Watasema watachoka
Ukipata bahati hiyo shost kumbuka kwanza usafi. Usafi wa mwili wako na mazingira yanayokuzunguka.
Jaribu sana kutengeneza muda wenu nyinyi wawili tu.
Roho ya mwanaume iko tumboni. Msome vyakula anavyovipenda. Kama hijui kuvipika ingia you tube upate tuition gharama bundle.
Usiwe mchoyo.