Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Jamanii
Hakuna watu bahili kama wanawake
Tumeumbwa kupokea tu

Kumbe mnajijua? Unampa kila anachohitaji kwake unataka penzi at least hayo mengine awezi kukupa kutokana na ubahili wa ke wengi lakini hata hilo penzi tu kukupa inakuwa nongwa tupu.
 
Tumekuwa tukiona mahusiano ya aina tofauti tofauti ila common yakiwa yale ambayo mwanaume wana economic muscles ila kutokana na mabadiliko ya tabia nchi sikuhizi pia kumejitokeza mahusiano mengi ambayo wanawake wana financial muscles hali iliopelekea mahusiano ambayo mke anakuwa anaziba gap kubwa kiuchumi hali ambayo imekuwa inachukuliwa in a very negative way.

Mwanamke anayespend hela kwa mume au mpenzi wake kwa roho safi its obvious anampenda kwa dhati...japo anaweza kuwa na madhaifu mengine ila kwenye huba yuko legit by 100%. She really loves and wants her man to feel great about it. Kila mtu anajua pesa ni kama spice katika mapenzi hunogesha na kuleta furaha zaidi thats why mtu haoni tabu kutumia pesa zake na mtu ampendae.

Tabu iko kwetu sie ambao tunafosi mapenzi kwa malaya wanaoishia kutuchapa invoice kwa foleni. Wengi tunaishiaga kuponda tu kama kawaida yetu na kuwaita watu Marioo ila ukweli ni kwamba wapo wanaotamani hio bahati ya kupata penzi la dhati ila huwatokea ME wachache. The same goes to wadangaji wanaoponda na kushangaa wanawake wenzao wanawapaje hela wanaume zao bila kujua kuwa roho za kimaskini na kukosa access na hela ndio mtihani walio nao.

Kitu najiulizaga kama mapenzi ni ya wawili and involves 2 way traffic iweje mwanaume kumpa hela mwanamke iwe halali ila mke kumpa mume hela iwe kosa? Justify!

Nikihesabu zaidi mimi nampa kuliko yeye anavyo nipa,sijisikii vibaya naona kawaida kwasababu naelewa changamoto anazo pitia kwa sasa
Kwa mara ya kwanza sijisikii kuumia kumpa mwanaume hela
Kwasababu tunacover gap,ananipa nampa
Pesa sio issue kwenye mahusiano yetu
 
Nikihesabu zaidi mimi nampa kuliko yeye anavyo nipa,sijisikii vibaya naona kawaida kwasababu naelewa changamoto anazo pitia kwa sasa
Kwa mara ya kwanza sijisikii kuumia kumpa mwanaume hela
Kwasababu tunacover gap,ananipa nampa
Pesa sio issue kwenye mahusiano yetu
Hiki unachoishi ndio hasa maana ya hii mada kuu hapa. Kwamba kwanini watu wanaona kama sio sawa mtu kama wewe kujitoa kwa mtu wako?
 
Mahusiano uliyapiga stop Sasa unaishije? Binadam wa kawaida kwichi kwichi Ni muhimu na Ni lazima..! Twambie waishije bila mchenjuo? Au we lesbian ?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Teh teh na hapo ndipo ninapowashangaa wabongo wengi! Wameshakariri kuwa ngono ni hitaji muhimu kwa kila binadamu ndiyo maana wananishangaa mtu kama mimi ambaye nasema siko kwenye mahusiano!

Halafu kwani lesbian hafanyi ngono mkuu? Kwanini mwanamke akisema hataki mahusiano anaonekana lesbian kwani mwanamke akiwa anadate na mwanamke mwenzake siyo mahusiano hayo?
 
@Karma hataki kabisa kusikia haya mambo hadi kaamua kuachana na mahusiano
Kwa kweli mimi kuliko kuwa kwenye mahusiano kama hayo ni bora nibaki single hadi nakufa! African men demand a lot from their women more than they can give!
 
Back
Top Bottom