Mapenzi na Siri zake za ovyo

Ndoa ni kama nchi za dunia .mfano kama yako ni Sweden hutakaa uelewe burundi inaendeshwaje na wanaendel3a sherehekea uhuru kila mwaka
Ni kweli Mkuu, ila haiondoi ukweli kuwa kuchunguzana kunaepusha mengi.

Amani utaipata kwa kumjua mwenzi wako ni mtu wa aina gani FULL STOP.
 
Unachosema hapa ni sawa na kumwambia mtu hivi.

"Hii hapa ndoo ya lita ishirini, lita kumi na nane ni maji safi, halafu kuna lita mbili nimejazia mkojo.

Nakupa uyanywe, haya ni maji safi, usijali huo mkojo kwani nimejazia tu, haya ni maji."

Mtu akikupa hayo maji yaliyochanganyika na mkojo utakunywa kwa sababu amekwambia hayo ni maji, mkojo kajazia tu?

Kama mahari kubwa si issue, kwa nini umeitaja?
 
Kitu kinachosababisha mtu kulala na mwanaume mwingine kwanza ni kushindwa kumkuna vzr, sasa ww kidogo ushamwaga kurudia tendo ndio mpaka kesho yake unadhani ni rahisi kukuvumilia, nitakuchekea tuu naenda kwa kidume kingine nikionjeshe nione kama na chenyewe kina ufundi wa kuridhisha
 
Kwa mtindo huo wa maisha ni dhahiri kuwa nchi zenye kufuata sheria za kiislamu ndio wataendelea kufurahia matunda ya ndoa.
Acha kudanganya tena huko ndio wanaiingia sana mlango wa nyuma, unadhani wao wanaponea wapi? Hakuna mtu asiye na matamanio
 
Mkuu upo sahihi.

Kuchunguzana ni kwa wote na sio jinsia moja tu!

Mm Mjanja M1 nimezungumzia inshu ya huyo dada tu, ndio maana bandiko langu linaonekana limeegemea upande mmoja.

SUALA LA KUCHUNGUZANA NI KWA JINSIA ZOTE MKUU.
 
Wachache ndio wataelewa yaani mimi mke bila ya kutoka kwetu hapana ,nisikie mwanamke anatoka nje na mkoa wangu na mazingira niliyokulia siwezi kumpenda ng'o.
 
Hapa Sasa nimekuelewa vzr!

Kivyovyote iwavyo hamsini kubwa sana, labda ni Ile usiwe na mpenzi ukawa unashiriki ngono na watu tofauti tu, lkn kama ni ile unakua na mpenzi mkiachana unaenda kwa mwngn haiwezi kua kubwa hvo
 
Hapa Sasa nimekuelewa vzr!

Kivyovyote iwavyo hamsini kubwa sana, labda ni Ile usiwe na mpenzi ukawa unashiriki ngono na watu tofauti tu, lkn kama ni ile unakua na mpenzi mkiachana unaenda kwa mwngn haiwezi kua kubwa hvo
Sasa wadada wa mjini wenye mpenzi mmoja dunia ya sasa ni asilimia ngapi?

Wewe unavyojiona kidume kuwachanganya, ndiyo na wao wanavyokuchanganya na vidume wengine.

Wote mnaishia na body count kubwa, halafu unatafuta unicorn ambaye hayupo.
 
Ni kweli Mkuu, ila haiondoi ukweli kuwa kuchunguzana kunaepusha mengi.

Amani utaipata kwa kumjua mwenzi wako ni mtu wa aina gani FULL STOP.
Ndo maana na hawa wamejuana kaka mfano msando huyu wa siasa yaan yy anakula mke analiwa na wanadumu
 
Ndio maana vijana wanakataa kuoa kwasababu ya kuona vitu venye madhara vinapuuziwa na jamii.

Kwa maoni haya, naungana na vijana wanaokataa ndoa.
 
Dawa kutafuta mwanamke bikra tu mana ukisema utafute mwanamke ambae hana bikra inakuwa ngumu kujua ametoka na wanaume wangapi
 
Upo sahihi Mkuu, lakini Theme nzima ya kuchunguzana ni kuifanya jamii ibadilike na iishi maisha yalio sahihi kimaadili.

Suala la kuchunguzana ni Both Sides na sio Gender moja, kwahyo nina uhakika kuwa tukichunguzana na kuwaacha wenye background mbaya waoane wenyewe tutaepusha maumivu kwa waliojitunza.

Nadhani umenielewa Mkuu.
 
Mkuu umeamua kunipinga tu, lakini naamini hoja yangu umeielewa japo unabisha kwa kuleta hoja tofauti....
 
Sasa si ukae na anaekukuna vizuri, kwanini unataka kula kotekote?

Huo ndio umalaya sasa....
 
Acha kudanganya tena huko ndio wanaiingia sana mlango wa nyuma, unadhani wao wanaponea wapi? Hakuna mtu asiye na matamanio
Una uhakika kwa unachosema Mkuu, au ndio stori za vijiweni?

Mm sipo upande wa imani hyo, ila naamini wanakataza kufanya uchafu huo na hata kwenye vitabu vyao vitakatifu wamesema kuhusu kukataza uchafu huo.


Unapoongea kitu kuwa na ushahidi, acha maneno ya vijiweni na mtandaoni.
 
Mkuu umeamua kunipinga tu, lakini naamini hoja yangu umeielewa japo unabisha kwa kuleta hoja tofauti....
Na mimi naweza kusema umeamua kulazimisha tu kuwa nimekuelewa, wakati katika hoja yako umeweka contradiction ambayo mpaka sasa hujaweza kuitatua.

Yani umenipa maji yaliyochanganyika na mkojo ninywe.

Nakwambia maji haya hayafai kunywa, kwa sababu yamechanganyika na mkojo.

Unaniambia mkojo mbona ni asilimia 10 tu, kunywa, hayo ni maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…