Ni uamuzi wako Mkuu.Unamchunguzaje mtu ambaye mmekutana chuoni ama kazini ama kanisani ?
Mtu kwao mbeya. Wewe kwenu Mbagala.
Shule kasoma Dodoma wewe umesoma Arusha.
Baba yake mwenyewe ama mama yake hawezi kumjua binti yake katembea na wangapi ama nani na nani. Sembuse wewe mnaekutana ana miaka 25 ndio uanze kumchunguza mtu aliyevunja ungo miaka 13 iliyopita
Dah exactly siwezi kumbuka 🤔🤔🤔labda nirudi nikahesabu vzr! Na hata nkijua idadi kamili sioni kama imekaa kistaarabu kuweka hapaMkuu,
Wewe umepitia wangapi kwanza?
Inaumiza sana kuona mtu anajiona anajua zaidi kuliko hata huyo muumba aliemuumba.Acha kujidanganya.
Muulize Gynocologist yeyote atakueleza ukweli.
Hakuna mwanamke anaefika miaka 29 akiwa hamjui mwanaume.
Wapo Wanawake wanamjua Mungu wanaweza kujitunza sana. Ila kuna umri unafika uvumilivu unawashinda.
Nyege ni basic need. Kama tumbo kusikia njaa vile.
Mtu hawezi vumilia njaa muda mrefu. Ndio hivyo hawezi vumilia nyege kuanzia anavunja ungo ana miaka 12 mpaka kufikia 29 bado amekaza tu.
Wanawake wanaojitunza huwa wanamudu wakibahatika kuolewa mapema. Miaka 23 mpaka 25 awe ameshaolewa.. ila bila ya hivo..uvumilivu utamshinda tu
Unaona sasa.Dah exactly siwezi kumbuka 🤔🤔🤔labda nirudi nikahesabu vzr! Na hata nkijua idadi kamili sioni kama imekaa kistaarabu kuweka hapa
Mkipigwa na kitu kichwani ndio mnapata akili na mnakuwa wa kwanza kufungua Nyuzi (Mkijuta)Ila vitu vingine ni kujitafutia stress tu, unachunguza kalala na wangapi then??!! kama umeamua kuoa oa tu haibadilishi kitu, cha msingi tu kwenye hao aliolala nao hakuna aliyeondoka nayo hiyo kitu, sisi wazee wa hit & run hata kama amelala na 200 as long as nafasi yangu ya 201 ndio imefikiwa hakuna issue, i play my part i leave the rest
Mkuu amekuchekesha kwasababu umezungukwa na Makulumbembe (Malaya) ndio maana hauamini kuwa kuna mabinti walio wasafi.Hehehe!
Umetuchekesha sana Mkuu, Mimi pamoja na wana jamiiforums wengine.
Hongera pia kwa kukutana na Mabinti wa namna hiyo.
Shida hapo n nnUnaona sasa.
Waswahili walisema "Mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu".
Huyo Dada ameweka wazi ila tukirudi kwenye jamii zetu MTU kavunja ungo miak12 halafu ana miaka 32 bado hajaolewa unakuta kashagonoka hata na wanaume 40.Ngono imeshakuwa jambo la kawaida, watu wanafanya Ngono bila ya kujali madhara yake kwenye jamii.
Wanafurahia vipi wakati upande mmoja wanalazimishwa kuishi kitumwa kwenye ndoa..Kwa mtindo huo wa maisha ni dhahiri kuwa nchi zenye kufuata sheria za kiislamu ndio wataendelea kufurahia matunda ya ndoa.
Hajui wanaongoza kwa talaka dunianiWanafurahia vipi wakati upande mmoja wanalazimishwa kuishi kitumwa kwenye ndoa..
Tatizo la vijana wenzangu ni kwamba mnapenda ubishi.Kwa jamii ya sasa na naendelea haswa kukua kwa elimu hili haliepukiki.
Tukirudi nyuma kwa wazazi wetu je mbon ndoa zilidumu sana?
Hawa walikuwa wanaoana watu wa karibu kama jamii moja hususani kabila na ujirani ...Mtoto (mke) anajulikana mpaka makuzi yake na tabia zake
Siku ukiona nimefungua uzi kwenye mtandao wa JF au mwingine wowote ule kisa mwanamke, naomba unitukane mkuu.Mkipigwa na kitu kichwani ndio mnapata akili na mnakuwa wa kwanza kufungua Nyuzi (Mkijuta)
Endelea na ubishi wako kijana.
Hatari sana Mkuu.Halafu eti anakuka mti anakuambia oa ndio molango ya baraka itafunvuka..Milango ya baraka itagunguka wakati umeoa jitu limebeba ma nuksi na mapepo ya wanaume kibao...
HapanaDuh, inatisha
Sasa hapo hata ukipiga mashine anakuona dunduka tu la Msimbazi