Jan-uary
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 968
- 1,022
Katika mazingira fulani fulani tukajikuta mimi na mtoto wa mama yangu mdogo tumeanza kupeana vya faragha,tulianza Kama utani tukitarajia hatutafika mbali,mwaka wa tano Sasa tumeshanogewa kila tukijaribu kuachana haiwezekani kabisa,dada mwenyewe japokuwa pendo limeiva lakini ukweli ni kwamba hana viwango vyovyote,sura na shape yake hovyo kabisa,ila kunako faraghani mambo ni faya.
Nimekuja kwenu nishaurini tufanyaje ili tuachane?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuja kwenu nishaurini tufanyaje ili tuachane?
Sent using Jamii Forums mobile app