Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,671
- 19,193
Mleta thread ni zao la Big Result Now..... Hongereni sana chama cha mapinduzi kwa kupindua akili za Watanzania
Umeona eeeh! Nawangalia tu wanaoponda vya haramu vitamu wacha kabisa
Tumetishiwa mtoto anaweza akazaliwa taahira,kwahiyo mpango wa mimba haupoPiganeni miti tu undugu wenu wa mbali sana, mpe mimba kabisa
Write your reply...
Ungekuwa uko tofauti na Mimi ungepita tu bila kuandika chochote,kitendo cha kucomment yaani ni mara kumi ya mimi
Mwanaume anapombaka mbuzi huwa haangalii sura
Hivi unavyoanza kumtamani mpaka unazini nae hukuona kama ni mbaya?
Wanaume tukishakula tu basi tunaanza kutoa kasoro.
UShasema mnatishiwa maana yake hakuna ukweli ni mkwala tuTumetishiwa mtoto anaweza akazaliwa taahira,kwahiyo mpango wa mimba haupo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji77]hiii hapaWeka picha yako tuone ulivyo mzuri zaidi ya huyo bibie
Ukishaambiwa hii sumu usiionje kwa mdomoUShasema mnatishiwa maana yake hakuna ukweli ni mkwala tu
Pole sanaAiseeee....!![emoji53] [emoji53]
Nimejikuta nasikitika tu...[emoji17] [emoji17]
basi sasa kazi kwako