Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Naona aibu mimi!
tangaza unataka kuoa
tangaza unataka kuoa
Nilitaka mniambie niache zinaaSasa unataka nini kwetu? wacha zinaa
Mtoto wa mdogo wake mamaTumeambiwa hapa na mdau mmoja kuwa kuna mama wadogo wa aina nyingi.
Je, huyu mama mdogo mnahusiana vipi?
Mdogo wa mama yako? Mke mdogo wa baba yako? Au?
Nikirudi CCM sitaambiwa haya ,nawajua Misukule