Mapenzi na kukopeshana!

Mapenzi na kukopeshana!

Inawezekana sana...

Inategemea na sababu mbalimbali mfano.. Sababu za kukopeshana, source ya huo mkopo n.k

Kuna aina ya mkopo ukimpa ndugu/mpenzio utajiandaa kulipwa au kutolipwa... Yani yote mema lolz.

Mfano.. Mie naweza mkopesha ndugu yangu kwa lengo ambalo ni muhimu sn .. But lazima tujadili kwa mapana atanilipaje.

Na kama source ya mkopo ni biashara.. Lazima nae aelewe vyema.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mimi trick ninayoitumia kwa watu ambao najua itaniwia tabu kuwadai ni hii- lets say mtu anaomba nimkopesha laki moja, nitamwambia tu siko vizuri na kuua soo nampoza na 10 au 20 ambayo sitamdai, mchezo unaishia hapo.
 
kukopa ruksa ila huruhusiwi kulipa
mimi wangu ananidai hadi basi najiuliza ni haki kweli kumlipa?

Kama mpango ulikuwa na mkopo, nadhani anayo haki ya kuendelea kukudai hadi utakapomlipa, na kama huwezi ni bora umwambie tu ili aangalie uwezekano wa kukufutia hayo madeni na najua ukiwa mkweli hivyo naye atakutekelezea shida yako pasipo shida.
 
Wanaweza kukopeshana japo inategemeana na kiaasi cha pesa na hali zao za kiuchumi na bila kusahau sababu ya kukopeshana hizo pesa.
 
Me nilimkopesha my girl then time amemaliza form 6 yuko home kafulia. Alkapata post udsm b4 kwenda chuo 2 akaniacha. Then nikamuwait time amepata boom nikamkumbushia akaleta sababu. Ah me nikapotezea. So nilichojifunza ukimkopesha hela mpenzi wako fanya kama umempa tu maana chochote kinawza kutokea
 
dah mimi huwa nina aibu ya kudai madeni,
kama vipi naweza kumpa tu kama kumsaidia.

Hiyo aibu ya kudai inategemea pia na kiwango cha pesa ulichomkopesha huyo mpenzi wako, mfano kama ni kiasi kidogo hata akikurushia unaweza shindwa hata kuipokea, lakini kama ni deni kubwa nadhani akichelewa kurudisha wewe mwenyewe utaenda kumkumbushia.

Dawa hapa kwa wewe mwenye aibu sana labda usikopeshe kabisa.
 
kukopa ruksa ila huruhusiwi kulipa
mimi wangu ananidai hadi basi najiuliza ni haki kweli kumlipa?

Avatar yako inanizingua............unaonaje ukibadilisha km namna ya kunisaidia!!!!!
 
Mwanamme wako mwenyewe afu akukopeshe? Kama mie nampiga chini fasta

mimi siwezi kumdai mtu kabisa so naogopa sana kumkopesha mtu .ila kama ni mpenzi wangu nitamuomba hela yangu.ila akinikopesha yeye dah akinidai sijui kama ni fair,si haki kumlipa mwanaume while ni mpenzi wako bana au?
 
Mr Rocky
images


saudari cha hizo kabisa
Mimi Mamndenyi nampa kwa moyo wala simkopeshi aise
Wewe tatizo umezidi ubahili ndo maana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom