Hahahaaaaaa Mamndeny!!!! Leo ndo umejua nini maana ya kupenda.
Kumbe zile thread za kumwambia mpenzi wako kwamba unampenda ndo unazitekeleza leo.
Aya bhana, na miye nangojea.
Habari wana JF!!
Swali langu ni kwamba,hivi mtu na mpenzi wake wanaweza kukopeshana hela??
Hahahaha, that's true.Kukopeshana kupo sana tu, ila uhusiano ukivunjika na deni liishe
Kwa sisi tunaoishi mjini, siku hizi hakuna mapenzi. Kwa hiyo inawezekana kabisa kukopeshana. Lakini sio vihela kama laki mbili au laki tano. Vijisenti vidogovidogo vinarutubisha mahusiano. Kwa hiyo usisite kumpa mwenza wako vilaki viwili au vitatu kila wiki.
Haya Nimekupata!Kwa sisi tunaoishi mjini, siku hizi hakuna mapenzi. Kwa hiyo inawezekana kabisa kukopeshana. Lakini sio vihela kama laki mbili au laki tano. Vijisenti vidogovidogo vinarutubisha mahusiano. Kwa hiyo usisite kumpa mwenza wako vilaki viwili au vitatu kila wiki.
Kwa sisi tunaoishi mjini, siku hizi hakuna mapenzi. Kwa hiyo inawezekana kabisa kukopeshana. Lakini sio vihela kama laki mbili au laki tano. Vijisenti vidogovidogo vinarutubisha mahusiano. Kwa hiyo usisite kumpa mwenza wako vilaki viwili au vitatu kila wiki.
Hakuna kukopeshana wakati mnashea mapenzi,ni ngumu sana kumdai mwenza wako baada ya kuwa umempa pesa na wapenzi wengi huamua kutoa tu kama zawadi.
Ila kama ukichoka kuwa nae si vibaya kudai chako.
kama aki ingia mitini??????