kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Mtaachana tu
🤣Afu wewe si ulisema ni bikra wewe? Unataka nikuvunjie agano?Utanielekeza pa kukukuna nami nitafanya vzr zaid yake
🤣🤣🤣 Nashukuru sana🥴Oh hope unaendelea vyema na muwasho wako
Nakutakia muwasho mwema
Ndio nataka uje uvunjevunje h bikra yangu 😎🤣Afu wewe si ulisema ni bikra wewe? Unataka nikuvunjie agano?
Sitaki dhambi mie🙄Ndio nataka uje uvunjevunje h bikra yangu 😎
We una mpenzi wa kukupagawisha?Sawa tumekusikia. Lol
Vina muda basi ndugu😂😂Ndugu zangu mbali nanyoote ila hakikisha una mpenzi anaekupenda na wewe unampenda kiufupi mpendane kweli kweli maisha yanakuwa rahisi na matamu yenye furaha ukiwa na mwenza mnaeendanda, furaha ya kweli inatokea hapo.
Kama una kazi nzuri ,pesa na na kila kitu ila kama huna mwenza maisha kwako hayana maana yeyote ni hutokuwa na furaha ile ya dhati kamwe.
Sio penzi jipya wala sina mpenz ila ni mtazamo tu, kukaa single bila mpenz sio ujanjaPenzi jipya huwafanya waswahili wajione wako India au Korea au Ufilipino...
Watu hawa huona wengine hawajui au hawezi au hawajabahatika kwenye mapenzi.
Pia watu hawa huwa mabalozi wazuri pale kikishawaramba... Tukupe muda gani ili kisipokuramba uje utuumbue?
Sisi tunakupa nainte dayz..